Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
- Thread starter
-
- #21,421
Kweli kuna Panic ndani yao.Hawa bila kuchukua possession hatuwafungi, naona wachezaji wetu kama wanacheza kwa panic, tukifuatisha mpira wao watatuchanganya.
Namkubali sana lucas