Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,121
Real Madrid 5 - 0 Osasuna. Luka Off and Asensio On
Usiogope hawa wetu japo beki zimepoteza umakini.Hahahahhahahahahahah.....dah!tungekuwa hatujafunga 5 walah tungekalia
Aisee hawa wamechafua kurasa hawaaah! hawakutakiwa wachafue gazeti hawa!!
Ramos alimpanda mtu mgongon...japokuwa ni uzembe wa jumla wa beki zetuMbona sikuelewa hapa, nimetoka kidogo ninarud ninakuta watu wamepewa tuta,
Nimshaanza kukuelewa Mkuu, mwenyew jamaa akiwa golini ninaona kabisa hatupo secure!! muda wowote tunaweza kuliaMe jaman huwa nasema kila siku sijawah muamini huyu Kiko
Huwezi amini, mimi ninamkubali Mariano kuliko hata huyo Morata na Benzema, dogo ni mwepesi kweli kweli, Zile kosa kosa za Benzema na Morata angalau tungehesabu hata goli!!Muhimu tumechukua point tatu....nlichokiona ni kuwa benzema na morata hawatakiwi kucheza pamoja....Ligi inapozidi kunoga Kiko akae benchi