Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,961
Morata's injury is not serious and he will be back for Real Madrid's next game according to Cope.
Hahaha, huyo jamaa ana matatizo sio bure, hua nikipita kule ninabaki tu ninacheka. Kweli inatakiwa tuchukue La Liga msimu huu ili tuwanyamazishe kabisa,Goal.com kuna mtu anaitwa Ben Heyward. Yeye na company yake wanajulikana ni Real Madrid haters for no reason. Ndio maana tuchukue tittle msimu huu tufurahi wenyewe, maana hao jamaa hawaishi maneno.
Kuna mwandishi kipenzi cha Barca anaaitwa Ben Heywad haipendi Madrid na huwa hata ikichukua kombe yeye ni kukosoa tu. Makala zake nizakutuponda tuNilipita kule goal.com asubuhi, kama kawaida yao nimeona wameshaanza kupiga ramli, wanadai Real madrid wameflop kweny usajili msimu huu. Ninakumbuka wakati Zizou anapewa mikoba ya kuinoa Madrid waliandika mambo mengi sana, this time ninaona wameanza tena.