Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,372
Nilijikuta ninamwonea huruma Lucas alivyokuwa anavumilia kumshikilia Toni Kroos, Toni mwenyew wala hayupo, utadhani ameshikiliwa na Casemiro ama Bale kumbe ni Vasquez!!How Toni Kroos celebrated firing us into the lead against Celta! [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Kiukweli ni goli moja zuri sana amezoea kufunga still, ushindi muhimu na pointi tatu muhimu. Hala Madrid.Toni alipeleka mpira kule kule golikipa alipokuwa, ila hakuuona, noma sana, nimejikuta ninaruka hapa!!
Game ilikuwa tafu sana cha msingi pointi tatu ndo muhimu, am proud of being Madridista.Aaaaaanddd we're in REAL MADRID MODE. Expect a crazy end
Nilijikuta ninamwonea huruma Lucas alivyokuwa anavumilia kumshikilia Toni Kroos, Toni mwenyew wala hayupo, utadhani ameshikiliwa na Casemiro ama Bale kumbe ni Vasquez!!
Priceless!How Toni Kroos celebrated firing us into the lead against Celta! [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Toni alipeleka mpira kule kule golikipa alipokuwa, ila hakuuona, noma sana, nimejikuta ninaruka hapa!!