Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Kuna ka uzito fulani hiv pale nyuma ka kuhamisha mipira tunaposhambuliwa, sijui shida ni nin !! Hawa hawatakiwi kutuzoea!!Sasa tunaanza kuangalia game huku tumesimama kwenye korido yakwenda choo....beki zinataka kufanya nn sasa pale?
Casmiro kwa nafasi yake yakuharibu mipango ya adui ni lazima awe anakula kadi yule..anafanya kaz kubwa sana pale kati....Kuna ka uzito fulani hiv pale nyuma ka kuhamisha mipira tunaposhambuliwa, sijui shida ni nin !! Hawa hawatakiwi kutuzoea!!
Casemiro na yeye hawezaji kumaliza mpira bila Card!!
Casmiro kwa nafasi yake yakuharibu mipango ya adui ni lazima awe anakula kadi yule..anafanya kaz kubwa sana pale kati....
Am also impressed with illaramendCasemiro knows his job.
Ramos apunguze makosa yasiyo ya lazimaGood to have three points + three goals...bila kuchafua kurasa...hope tutaendelea hivi...nidhamu eneo la beki ni muhimu sana...hala madrid
Ramos apunguze makosa yasiyo ya lazima
Casemiro Leo amewatibua kweli kweli!! Pale Perez aliokota dodo chini ya mwarobaini, Illaramendi Leo atalala na viatu.Casemiro knows his job.