Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndio maana Morata anacheza vile. He really wants to scores too. Mi naona bora angetulia acheze kitimu magoli yanakujaga tu.
Morata amepanic, anataka na yeye afunge ili amshawishi Zidane kuwa na yeye anaweza!! akitulia atafunga tu, Dogo amepata chance moja akaweka mpira kambani!!
 
Anatakiwa apewe somo kabla hajapoteza namba baadae iwe drama, maana kuna kama €200M zimekaa kwenye bench na watu wengine wako nyumbani wanauguza majeraha.
Upo sahihi sana.. nlikuwa nawaza hapa..nkasema huyu morata anatakiwa ajue jinsi yakuonyesha umuhimu wake nyakat ambazo kina benzema hawapo....
 
Marco Asensio is the real deal, What a player! He's playing in Cristiano's position and doing everything fine.
 
Del Bosque was right when he called Asensio the best young Spanish Talent right now
 
Binafsi nahitaji kuona nidhamu ya hali ya juu sana hapa nyuma haswa kipindi cha pili...hawa sociedad huwa siwaamini sana hawa wakiwa kwao...hawatabiriki sana hawa
 
Morata amepanic, anataka na yeye afunge ili amshawishi Zidane kuwa na yeye anaweza!! akitulia atafunga tu, Dogo amepata chance moja akaweka mpira kambani!!

Upo sahihi sana.. nlikuwa nawaza hapa..nkasema huyu morata anatakiwa ajue jinsi yakuonyesha umuhimu wake nyakat ambazo kina benzema hawapo....

Atabadilika tu, Juventus ndio alikuwa anacheza hivi. Anajitengenezea anafunga mwenyewe, hii ni timu nyingine anatakiwa kukubali style ya mchezo aache kupanic kitoto. Hapa unampa pasi hata beki anafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…