Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,261
Gareth Bale is back in Madrid. He has three days to get ready for UEFA Super cup match. #HalaMadrid
Aende tu huyu....tunamtakia maisha memaBREAKING News from BEIN Sports :
Jese is the new PSG player and he will be unveiled on Monday/Tuesday.
![]()
Tuache utani wadau...pale kwa kiko pale hatuna kipa pale...
Ngoja tuone itavyokuwa....maana ananifanyaga nikae huku nimebana maeneo shuti likipigwa kuelekea kwetu..Tunacheza difensive game, kwahiyp worry out Tall. Sevilla wamebadilisha nusu ya timu lakini advantage tuliyonayo ni kwamba bado hawajakaa pamoja kama timu.