Real Madrid come back vs Arsenal

Hizo mechi zote nazikumbuka lakini niseme tu mechi hii ni tofauti sana. Arsenal kusema kweli wako vizuri sana.
Mimi ni shabiki wa Madrid tatizo tumekariri tu kuwa madrid ni timu ya come back 😃😃😃 sio miaka hii ndugu,
Mwaka huu madrid sio nzuri imepokea vipigo vingi vya maana na inaudhaifu mwingi hasa kwenye wing back .

Arsenal ni timu nzuri Saaana wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu, pia hakuna ustaa kama real madrid

Ili madrid apite inabidi amfunge ARSENAL kwa difference ya 4 yaani mechii iishe 4-0, 5-1, 6-2, 7-3, 8-4 etc kitu ambacho sio rahisi sana hasa kwa timu zinachocheza kwa nidhamu kama Aseno
 
Wafunge paaa ila wasisahau vijana wa arsenal wakipata goli tu hapo kwao itakua mlima. Sema madrid wana kubebwa. Ule mwaka chelsea alidhurumiwa hapo spain wangetolewa hapo hapo kwao tena kinyama ila VAR ikafanya usengerema
Hata mechi ya kwanza dhidi ya Arsenal walijaribu kubebwa na bwana refa kipindi cha kwanza lakini hawakubebeka.
 
Hata Simba hawakuamini itaitoa Al Masry wengine wakaomba wapigwe ban kabisa endapo ingeitoa!
Naweza kusema game ya leo ni very unpredictable kwa vikosi vyote vilivyo na uzoefu wa Madrid.
 
Binafsi nadhani arsenal ni miongoni mwa vilabu vyenye solid defence msimu huu.
Sioni real Madrid akifanya comeback sanasana akiingia kichwakichwa nategemea kuona wakichezea kipigo heavy
 
Binafsi nadhani arsenal ni miongoni mwa vilabu vyenye solid defence msimu huu.
Sioni real Madrid akifanya comeback sanasana akiingia kichwakichwa nategemea kuona wakichezea kipigo heavy
 

Attachments

  • 20250415_120225.jpg
    534.4 KB · Views: 12
Mm naombea yapande kushambulia na arsenal izuie afu wawakande goli la fasta wawe na wenge zaidi. Yakijaa mawenge wayaongezee la 2 afu agg iwe 5 kwa 0 mbona yatakimbia uwanja wao
Na hicho ndicho kinachoenda kutokea mkuu.
 
Sasa mkuu fans wa Simba na Yanga spana, wa timu za Ulaya spana, unataka iweje?

Ishu ni kushabikia timu 'za sehemu fulani' au kushabikia 'sana'?

NB: kwa Simba na Yanga huwa nakuunga mkono
 
Acha kukariri maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…