G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
- Thread starter
- #21
kwa hiyo dhumuni lao ni kuwekea watu walioko kando kando ya bara bara ndani ya meter 30, au dhumuni lao ni kusamba umeme kwa watu wote wa vijijini ili waupate kwa bei nafuu?
Rural Energy Agency. Najua na si katika dhumuni la REA kila mtu apate umeme kwa wakati mmoja mzee, kuna taratibu na kuna awamu. Sasa hivi REA wametangaza "Prequalifications" kwa ajili ya "REA III round 2A", sasa unaposema ni ubaguzi nitakuuliza unaijua scope ya hapo ulipo inatakaje ? Au hata route za mchoro wa kijiji chenu zikoje ?
Sasa usidai tu kwamba ni ubaguzi wakati huijui hali halisi. Shida inakuja kwa wale wanao tumwa kuhamasisha ulipiaji wa huduma hizi vijijini huwa kuna vitu hawaviweki sawa.