Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu hii ndoa mimi nimechoka nilifikiri iko hivi. ============> kumbe iko hivi... ==> Mchungaji akashangaa!? Haya na wewe yapi yamekusibu? Mume: nibora 2achane mimi nilifikiri iko hivi.. {} kumbe iko hivi { }