Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 156
Vodacom na Air tel, wanatuibia sana kwenye internet juzi nimeweka elfu 20 yangu hata haijakaa kwenye modem na sijadownload chochote??? KWELI HIZI KAMPUNI ZETU SIJUI KAMA TCRA WANAISAIDIA SERKALI AU WAPO TU MPAKA MTU AIBIWE SIMU
ishu hapa siyo bundle wala nini...ishu ni wizi...mnatuchanganya na hizo lugha hakuna lolote!...mi hiyo bundle ilikwishaga in no time bila ya kudownload wala kuitumia extensively.....sijanunua tena airtime yao....wala sijui modem niliitupia wapi...dah mi nilishashindwaga na hawa jamaa!!
Mkuu unachokisema sio sahihi, mbona mi natumia data card ya vodacom na charges zao ni reasonable sana! Mambo mengine mna exaggerate wakuu, kwa zaidi ya miezi 5 natumia data card ya mambo ni mswano tu.
Mimi si mtaalamu wa mambo ya IT na Computer, lakini my internet is fast. Kama kufungua JF home page ni mwendo wa visekunde viwili au vitatu tu. Jaribu kuwa consult wataalam wa IT wakwambie tatizo ni nini katika computer yako!!
hivi, nikitaka kuweka cheka internet kama ishirini kwa wakati mmoja inawezekanaje? yaani nisiwe na haja ya kutuma sms "CHEKA INTERNET" mara 20. (20Mb*20 = 400MB) kwa shilingi 10,000!
Vodacom na Air tel, wanatuibia sana kwenye internet juzi nimeweka elfu 20 yangu hata haijakaa kwenye modem na sijadownload chochote??? KWELI HIZI KAMPUNI ZETU SIJUI KAMA TCRA WANAISAIDIA SERKALI AU WAPO TU MPAKA MTU AIBIWE SIMU
Iko kwenye broadband tu sio TTCLMOBILE.Nadhani wakati mwingine sio lazima liwe suala la kufanya kazi Vodacom. Tusiwe na majibu mepesi kwa matatizo yetu. Niko Mbezi Makabe. Mimi kila siku kuanzia saa kumi jioni baada ya mihangaiko ya siku ninanunua kavocha kangu ka MIA TANO nakaweka na kuomba CHEKA INTERNET na kupata MB zangu 20 kwenye DTop na kama siku hiyo sina makuu zaidi ya kusoma magazeti, kujenga kibanda JF na kuchungulia picha kwenye thread ya picha nakatumia mpaka saa sita usiku inapokatika automatically! Ninayo pia modem ya TTCL hii naitumia kama nina kazi ya haraka sana. Ni kweli iko fast lakini hata hela inakula Fast! Ninaponunua ile ya alfu Moja haichukui round! bado najipapasa ili kununua ile Bundle yao ta alfu 30 kwa mwezi ili nipime.
Hawa jamaa ni wezi tu hizo bundle zenyewe ukiweka kufuangua JF home page 1 hr.
Tanzania mitandao ya simu WIZI mtupu. Mimi natumia moderm ya Zain/Airtel huku nilipo - download kwa sana - na ninalipa 25$ tu kwa mwezi mzima