Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
nimempata Mkuu.mh mkuu cjakupata kabisa just come again mkuu
..............
Byte: 00 01 02 03 04 05 06 07 08 09 10 11 12 13 14 15
Data: 1E 00 0C D1 00 07 00 01 00 03 00 01 60 00 72 D5....................
...............ni PM
Ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
Zamani ni kweli ilitumika maxim 232 ila ilikuwa na speed ndogo sana na sasaivi imekuja FTDI device ambayo inaspeed kubwa mkuu.Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
CalvinPower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?KAMA KITU UKIJUI KAAENI KIMYA SIO LAZIMA MKOMENT JAMANI kama unajua unajua kama ujui ujui.
Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na WACHINA sio UJUZI.
Enzi zetu hizo MBUS na Fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia Max 232 IC. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa KIBABU,YAHAYA,SELE,MWESIKA SAID SAPNA na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk Cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
Happy 2011
Kamanda ebu nipe mwanga kidogo ingawa sina utaaalamu sana Nina interest na mambo ya Mobile communication. Sasa tatizo naona hata swali la mleta mada sijalilewa vizuri. Can u help anataka kufafanua
CalvinPower unachoongea hapa ni madudu tu na sio msaada kitu.
Mr.Professional unaweza kutengeneza this program na missed calls ikawa password.Kwa kutumia any programing languange but C++ itakuwa nzuri zaidi kwa kazi hii.
Most of handset za siku hizi zote zinaweza kufanya kazi hii.
tuliwai kutengezeza system for zain now Airtel ambapo unaweza tuma comand kwenda kwenye mnara wa simu na katika mnara usika,generator ikawaka au kuzima,au ukauliza kuna lita ngapi za mafuta zipo ndani ya tank,au ukapata sms kuwa mlango wa BTS upo wazi.
Mbali na simu pia utaitaji another circuit ya kufanya maamuzi unayoicomand simu kufanya.ni PM
Ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
hakuna kitu kama kipi mkuu hata mimi natumia programming language. ila hiyo ni commands zinazokwenda kwenye simu. lakini may be sikuelewa swali. ok tugawe hii section mara mbili. moja iwe na maelezo ya chipukizi bila mimi kumcrash na moja iwe yangu bila yeye kuiita madudu. mimi nitaweka ya language vb6/delphi/vb.net na kama sikuelewa swali muuliza swali aweze kuniambia. lakini nitakuwa nimejifunza kutoka upande wa chipukizi. najua kuwa kuna devise nyingine mbali na simu ambayo itapokea hayo maamuzi which huko sitafika.Bwana Chpukizi naona Kitu ambacho ClvinPower alitaka kumuelezea mleta mada ni dat cummonication. sana sana kabase TCP with 3 way handshake. ila kwa programming naungana na bwana chipukizi kuwa hakuna kitu kama hicho. tumia Java, C#, au C++ kama chipukizi alivyoshauri. kwa kufuata ushauri wa bwana CalvinPower. hivyo project itakushinda. kama wewe ni programa chagua kati ya lugha hizo hapo. kwa kuanzia.
nawasilisha
CalvinPower unachoongea hapa ni madudu tu na sio msaada kitu.
Mr.Professional unaweza kutengeneza this program na missed calls ikawa password.Kwa kutumia any programing languange but C++ itakuwa nzuri zaidi kwa kazi hii.
Most of handset za siku hizi zote zinaweza kufanya kazi hii.
tuliwai kutengezeza system for zain now Airtel ambapo unaweza tuma comand kwenda kwenye mnara wa simu na katika mnara usika,generator ikawaka au kuzima,au ukauliza kuna lita ngapi za mafuta zipo ndani ya tank,au ukapata sms kuwa mlango wa BTS upo wazi.
Mbali na simu pia utaitaji another circuit ya kufanya maamuzi unayoicomand simu kufanya.ni PM
Ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
CalvinPower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?KAMA KITU UKIJUI KAAENI KIMYA SIO LAZIMA MKOMENT JAMANI kama unajua unajua kama ujui ujui.
Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na WACHINA sio UJUZI.
Enzi zetu hizo MBUS na Fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia Max 232 IC. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa KIBABU,YAHAYA,SELE,MWESIKA SAID SAPNA na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk Cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
Happy 2011
hapo kwenye red . najua hakuna kitu kama AT mega kwenye programming na sijasema AT mega bali nimesema atmega hii ni micro controllar unit. ni IC chip.Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
CalvinPower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?KAMA KITU UKIJUI KAAENI KIMYA SIO LAZIMA MKOMENT JAMANI kama unajua unajua kama ujui ujui.
Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na WACHINA sio UJUZI.
Enzi zetu hizo MBUS na Fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia Max 232 IC. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa KIBABU,YAHAYA,SELE,MWESIKA SAID SAPNA na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk Cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
Happy 2011
hapo kwenye red . najua hakuna kitu kama AT mega kwenye programming na sijasema AT mega bali nimesema atmega hii ni micro controllar unit. ni IC chip.
Dear member of the flow!
Am looking for a proper programming codes to develop a project whereby I can use a mobile missed call as a password for security purposes in opening a particular application in my PC.
the idea of using a mobile missed call is just to have a unique password where no one can temper it. please i need some idea
Mkuu, kwa jinsi nilivyomwelewa mimi - katika project ya Mr. Professional micro-controller haihitajiki. Ndiyo unaweza iunganisha simu with a microcontroller but it is not necessary as current handsets are powerful and feature rich enuff to do a job of a full blown embedded system. They are embedded systems per se.
Anyhow, Mr. Professional is after some ideas:
-- 1. You need a dedicated fone (receiving only) attached to a PC (host) (preferably) HTC with manoeuvrable OS (android) or another linux based OS. windows mobile, symbian or iphone OS aren't favorable for this sort of things. Then find tools on the net which will extract call list data from the fone, you can program this yourself (as you have suggested) or search the net for similar codes (i believe there are tons out there). There and then, data can be formatted into XML file type and be easily accessible remotely via http on a browser or console.
(From little I can understand in your initial query - these are mere concepts, and since you have asked for ideas, with time and by reading further into your intended project I could come up with few more...)
-- 2. Software bundled with new fones are feature rich (particularly Nokia). You can have phone call management software by nokia installed on your pc, then get (buy) a software to read and extract data from other applications on your pc. On the same pc you can have another software to dial (phone dialler) to alert or send single or batched text files from your pc. You can possibly achieve this by exploring micro recorders on your pc. With a bit of effort about programming micros using visual basic, or ms access or indeed any other micro enabled application, it should be possible to automate the entire process: - attach your two phones to PC via standard USB, one phone receiving calls and the other dialling out to some dedicated number of your choice where you would have access to the info being sent. I suggest you research more in micros recording procedures to accomplish this. This might be the easiest option in my opinion than one above whereby you would need to write your own code. On the other hand, using micros is a known technique and a variety of tools are at hand should you know which is which and what route to take. I shall find time to read more about this interesting project... otherwise, good luck!!
Happy New Year.
Steve Dii