Then unachohitaji ni unlocking codes which you can buy very cheap (something like 3000 Tz shs.) off ebay, you will get instruction on how to do it which is very simple task, I've done it 100 times, kama namna gani ni-PM for more info.Nashukuru 4 ur response mkuu..kwa mie tatizo ni simu kuwa locked na previous network provider so hai accept laini yeyote ya hapa bongo so U cant read the email no doing anything else unless Ur using wireless connection U can hav only internet access
Mkuu, siyo rahisi kihivyo, hawezi kutumia BIS BES kwa kuwa simu yake uko ilikokuwa inatumika mwanzo hawaja release PIN yake....Na hasipo wasiliana na Mobile operator mwanzo ambako simu yake ilikuwa inatumika wai-release PIN yake kamwe hawezi tumia hizo huduma,Maana BB server inatambua hiyo PIN kuwa inatumika mwenye mtandao kampuni ya mwanzo......voda/tigo,Airtel wao ni njia tu ya kupitishia haya mawasiliano ya BB,
Njia pekee ninayoijua mimi ni kuwapigia customer service wa old carrier mfano Verizon, t-mobile etc wafute account ya zamani, sometimes wanataka authorisation toka kwa old user. lakini wakati mwengine ukiwafamisha umenunua mfano ebay wanakubali.
Je hakuna njia ya ku-reformat simu na kupata PIN mpya?
Nimewapigia Verizon customer care. Wamesema kuwa hawezi Ku-unblock kama sio mteja wao hai.Njia pekee ninayoijua mimi ni kuwapigia customer service wa old carrier mfano Verizon, t-mobile etc wafute account ya zamani, sometimes wanataka authorisation toka kwa old user. lakini wakati mwengine ukiwafamisha umenunua mfano ebay wanakubali.
Labda ni BES lakini kama ni BIS huyo uliemkuta hapo customer service ni mnoko tu saa nyengine jaribu tena mwengine ukimfahamisha atakuelewa.Nimewapigia Verizon customer care. Wamesema kuwa hawezi Ku-unblock kama sio mteja wao hai.
Je hakuna njia ya kufuta data zote na ku-programme upya ikiwa ni pamoja na kuwa na PIN mpya?
Mkuu ebu jaribu hapa blackberry FREE Unlocking codes Request [ONLY HERE] - Page 8162 - GSM-Forum . Wape
MEP na IMEI alafu sikilizia
Sijui kama ndio hii forum unayosema ulijaribu ukashindwa.
Good Luck
Angalizo bure wakati mwengine ghali, usijaribu kuianika IMEI ya simu yako hadharani, kwani hio ndio simu yenyewe kuna watu wanatafuta IMEI mitandaoni kama hivi baadae wanaziripoti hizo simu zimepotea ama zimeibiwa na wanapata simu mpya.
Tumia hawa jamaa ni very reliable na nimewatumia miaka mingi tu:
Unlock Code For Blackberry 9700 9520 9500 8900 8520 | eBay UK
Ndio unamtumia IMEI lakini sio open unamtumia message kwa hio ni baina ya yeye na wewe tu na sio kuibandika kwenye forum,Lakini na hao si lazima awape IMEI. Anyway mi nilikuwa natoa link amby inaonekana watu pia wanatumia bila matatizo. KIla solution ina risk. Nothing on earth is risk free 100%.
Mkuu ninakwambia nikiwa na uhakika wa hicho kitu kwa sababu nawajua wadosi wanaodili na hizi ishu na wanakula simu nyingi tu, wanachohitaji wao ni model ya simu IMEI na carrier gani tu.Wala sioni mtu ataripoti vipi kupoteza simu kwa IMEI bila kuwa na taarifa nyingine. Haitamsaidi mtu kujua IMEI tu. Mimi nikijua IMEI ya simu haina msaada mkubwa sana. Yes kuna risk lakini sio kubwa kiasi hicho. IMEI ni kitu kidgo sana. mkuu
Mkuu ninakwambia nikiwa na uhakika wa hicho kitu kwa sababu nawajua wadosi wanaodili na hizi ishu na wanakula simu nyingi tu, wanachohitaji wao ni model ya simu IMEI na carrier gani tu.
Labda ni BES lakini kama ni BIS huyo uliemkuta hapo customer service ni mnoko tu saa nyengine jaribu tena mwengine ukimfahamisha atakuelewa.
Mkuu ebu jaribu hapa blackberry FREE Unlocking codes Request [ONLY HERE] - Page 8162 - GSM-Forum . Wape
MEP na IMEI alafu sikilizia
Vile vile je maelekezo gani uliyofanyia kazi hapa yakashindikana? http://forum.gsmhosting.com/vbb/f88/blackberry-free-unlocking-codes-request-only-here-1018381/
Sijui kama ndio hii forum unayosema ulijaribu ukashindwa.
Good Luck
Mkuu Kweli.. tatizo langu hasa nadhani si unlocking codes peke yake, tatizo ni kwamba katika kuingiza hizo codes unaruhusiwa kufanya hivyo mara kumi tu endapo unakuwa umekosea..now mimi hizo kumi zimekwisha na inaniandikia kwamba i have left with 0 attempt,. vp katika hili kuna solution? maana kule ulikonielekeza wana sema ukifikia hapo unapaswa uwatumie simu wakai unlock wenyewe kisha wakurudishie
Mkuu na tuishie tu hapahapa ila hawa jamaa ni insurance scammers wanguvu na wana mtandao unaoeleweka na njia moja wapo wanayotumia katika claims zao ni dizaini hii niliyokwambia.Mkuu na mimi nina knowledge kidogo wa haya mambo ya mobile tekchnology. Ninachoongea pia nina uhakika nacho
Huwezi kufanya kitu chohcote kibaya kwa mtu kujua tu IMEI ya simu yako tu . Akiripoti imeibiwa wakati umenunua kihalia si utathibitisha. U need more than IMEI
Hao wahindi unawasema waanafanya nini?
Kutoa IMEI sio risk kama unavyotaka kusema. Unless fafanua matukio gani IMEI imetumika kufanya nini? Kwana unajua hata IMEI za simu zinaweza kubadilishwa.?
Sijakuelewa kama unaongelea Network Lock ama IT policy password lock?
IT password lock inakuwa kuna picha kama ya kufuli na uki-press key yoyote inakwambia something like enter password?
Njia sahihi ya kuifungua network lock inabidi upitie process ya ku-type MEP na MEP2 ndio unapata option ya 'enter network MEP
code' kisha ndio unaweka code yako ambayo inakuwa na kama nambari 16.
Nijuavyo mimi hii inakupa 3 attempts kabla ya kuji-lock.
Anyway mimi nafikiri umejaribu IT password policy lock, ila nataka kuhakikisha hii ndio issue yenyewe? kila jaribio 3
wanakwambia "enter the word 'blackberry' to continue"?
iwapo ulijaribu Network unlocking codes mara 10 na kushindwa simu yako itakuwa imerudi kwenye original carrier na huwezi kuifungua tena,
unachoweza kufanya ni kutumia sim card ya original network carrier,kama hata ukijaribu hiyo na kupata message ya 'invalid sim
card' hii itakuwa simu yako huko ilipotoka walishadai Insurance.
Kama ninavyofikiri mimi ni sawa (IT policy password lock) basi fuata maelezo haya:
1. Ondoa sim na memory card, endelea na hiyo last attempt (hakikisha betri iko na chaji ya kutosha) simu yako ita-wipe
files/documents zote na ku-restore into factory setting, lakini password itabaki palepale na simu bado itakuwa inafanya kazi
kama kawaida.
2 Hatua inayofuata ni kufuta hii IT password policy inabidi utumie JL_Cmdr (Download) na kufuata maelezo hapa:
Remove an I.T. Policy from a BlackBerry... - BlackBerry Forums at CrackBerry.com
Baada ya kuondoa IT policy unaweza kuendelea kununua Network unlocking code link ya ebay nimeweka hii hapa:
Unlock Code for 9700 9520 9500 8900 8520 9000 | eBay UK and follow instruction.
Simu yako itakuwa unlocked.
Nilimaanisha hapa kwenye nyekundu nadhani uliacha last attempt hujafanya kwa sababu ukifanya lazima ina-wipe simu yako.Mkuu Kweli.. tatizo langu hasa nadhani si unlocking codes peke yake, tatizo ni kwamba katika kuingiza hizo codes unaruhusiwa kufanya hivyo mara kumi tu endapo unakuwa umekosea..now mimi hizo kumi zimekwisha na inaniandikia kwamba i have left with 0 attempt,. vp katika hili kuna solution? maana kule ulikonielekeza wana sema ukifikia hapo unapaswa uwatumie simu wakai unlock wenyewe kisha wakurudishie
Good luck ila kama nilivokueleza ikiwa ni Network lock ( after 10 attempts) hakuna tamaa, ila kama ni IT policy ndio ilikuwa inasumbua basi ukifuata haya maelezo utafanikiwa, kila la kheri.mkuu hapo nakushukuru naona kama hii ina mwanga kidogo wacha niijaribu ila naomba niweke clear kidogo hiyo last attempt uliyoongelea ni ipi
Mkuu na tuishie tu hapahapa ila hawa jamaa ni insurance scammers wanguvu na wana mtandao unaoeleweka na njia moja wapo wanayotumia katika claims zao ni dizaini hii niliyokwambia.
Huwa wanakuwa wana harvest IMEI , model na carrier then wanapata info nyengine kwa njia wanazozijua wao na baadae wana fill claims. Wacha tusitoke kwenye mada ya Ngoswe na tumuachie Ngoswe.
Habarini wanajamvi.
Naombeni tubadilishane mawazo ama kusaidiana inapobidi,.. Ni vp ninaweza ku unlock hii sim ya blackberry, previous network provider ilikuwa ni Bell Mobility U.S... nimejaribu kupitia gsm forum lakini naona bado haitatui tatizo, nina imani humu wapo great thinkers wenye uwezo wa kulitatua hili,.
Nawasilisha Maombi yangu.
Thanks in Advance.
Luvcyna