Re: Sportpesa

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Ndugu zangu wakenya nyie ni wazoefu wa huu mchezo wa sportpesa, naomba mnipe ABC za mchezo huu:-

1. Utaratibu wake ukoje, jinsi ya kucheza
2. Ukishinda unalipwaje na inachukua muda gani kulipwa
3. Mambo ya kuzingatia wakati wa kushiriki
4. Kama kuna fomu ya kujaza naomba mfano wa fomu hiyo
1. Jambo lingine lolote ambalo mtapenda tupeane uzoefu
 
MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
753
1,000

Hehe...Sportpesa ni ndoto mbaya....

1. nenda Sportpesa :: Ingia Mchezoni uregister.
2. Pesa ni dakika kumi hivi baada ya mchezo kuisha. Malipo ni Mpesa au ile mnayo huko
3. Bahati
4. Hakuna fomu. Labda registration form tu
5. Tazama video hii inayoitwa Sportpesa Inanyonya
.
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
haha! sportpesa inanyonya...ningekushauri uwache tu mambo haya...pesa utapata tu dakika chache baada ya mechi kuisha ila lazma uwe umeshinda....shida ni kwamba the odds of winning are very low...my take: try something else...not sportpesa...otherwise utafilisika...
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
better yet...try something like bet365...the international bookmaker or skybet but not Sportpesa..NB: but if u choose try it anyway, I promise you will remember me with tears in ur eyes....:D:D:D
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom