Jopo la wachumi wa kushughulikia nini? Chini ya taasisi ipi - World Bank, IMF, UNIDO, .............. ? Mara nyingi uteuzi kama huo huwa unatangazwa kwenye machapisho ya kimataifa, kwenye majarida na mitandaoni. Ya Lipumba imetangazwa wapi na lini? Vinginevyo mnataka kuifanya JF kijiwe cha wakosa kazi kama vile vya mitaani.