Re: Nikki minaj awatukana wakatoliki duniani

Status
Not open for further replies.
hawa wana muziki ni pasua kichwa kweli kama Lady Gaga kwenye video yake moja hivi aliigiza mambo ya Yesu, Mungu pekee ndo anayejua Hukumu ya hawa watu na wanatuchokoza wakristu coz wanatujua tulivyo, kama anaweza akavae kama Al-shabab aone kitakachomtokea.

Kwani hata yule yesu tunaemuona kwenye video si wakuigizwa? Au ndo mwenyewe? Kama wa kuigizwa basi LG sio wa kwanza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom