Re: Natafuta gari ya kununua - Hiace

Re: Natafuta gari ya kununua - Hiace

Kuna coaster ongeza kidogo pesa ni 11000000tsh
Ipo kazini inabeba abiria
Simu: 0659197822
City: Dar es salaam
Condition: Good
Year: 1999
Engine Capacity: Dy
Mileage: 100100Km
Manual
Fuel Type: Petrol
 
Kaka hiace ya bei hiyo ni kimeo...unapotaka kufanya kitu fanya kitu cha maana lakini hujaweka vizuri unaposema hiace una maana nyingi...super roof,manual,automatic,disel,petrol sijuhi ni ipi ila petrol ambayo ni automatic ambayo si dungu(super roof)ya mwaka 1999 wawezapata lakini napenda kukwambia cheap is exp...ushauri tu kaka..maana mimi pia nipo kwenye biz hizi za hiace
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom