Hahaha,ahsante aka2030.
Hizi zinatoa personal and guidance training ya Hesabu,kusoma,kuchora nk.Na humuongezea mtoto confidence na hamasa ya kufuatilia masomo,then atakapo fika darasa la tatu ndio ana apply hizi Computers za kawaida.
Zinakuwa hazina Complications kama hizi zetu tumezozoea.
Maana nimejaribu kutafuta software/Program ya kuweka kwanye hii yangu ila bado applications zake haziko vizuri.
Ila kama kuna sehem kuna sofware nzuri ambazo naweza kuweka kwenye laptop then zikawa helpfull pia sio mbaya mnaweza kunisaidia kwa hilo pia.