Re:Msaada Computer za watoto

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,059
Reaction score
10,519
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs)
Naziona kwenye TV tu ila sifahamu wapi naweza kuzipata na uawezo wake na msaada wake wa ziada kwa mtoto ni upi.
 
kaka tafuta tablet ya wifi ya android cheap inunulie na cover la mpira kubwa kubWa vyote hivi vitakucost kama laki 3 au rahisi zaidi ya hapo. kisha ingiA store mtafutie apps za watoto. zipo za kuhesabu, kutambua herufi, hadithi pamoja na za dini.



kama una uwezo zaidi mnunulie ipad hata 2 itakukost kama laki 5 hii ni nzuri zaidi kwa mtoto.

anza kumzoesha window na laptop taratibu lakini kwa age ya 6 bado window itamchanganya tu
 
Mkuu nina shida na hii kitu, naweza kuipata wapi kwa hapa Dar es Salaam
 

mkuu kuna computer za watoto sijui zinapopatikana ila nimewahi kuiona hapa tz kuna mtu nilimuona nayo, na aliniachia kwa muda nikae nayo hivyo nikaichunguza, na ilikuwa na features zilikuwa hivi:

  • inaitwa "XO Laptop"
  • ni water proof
  • ni android
  • inabebeka kama ka -begi kadogo
  • sio touch bali ina keyboard
  • ina USB port moja
  • ina wi-fi
  • ukiifunika unaifunga na Locks mbili ambazo ni imara sana, hata ikidondoka haiwezi kufunnguka
  • screen yake ina-Rotate

Unaweza kuangalia hii link One Laptop per Child (OLPC): Laptop
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…