Karikenye JF-Expert Member Apr 11, 2011 564 279 Jul 26, 2012 #1 Hebu mvueni viatu vya zawadi ya birth day ya mtoto jamani! Attachments Jogoo.jpg 19.4 KB · Views: 213
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member May 24, 2008 3,736 2,137 Jul 26, 2012 #2 kapendeza kweli anatoka out nini?
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jul 26, 2012 #3 bata kavaa raizon kuku kavaa santana....na huyu nae kavaa reebok au
TabletFellow JF-Expert Member May 17, 2011 918 272 Jul 26, 2012 #4 Karikenye said: Hebu mvueni viatu vya zawadi ya birth day ya mtoto jamani! Click to expand... aisee...
Karikenye said: Hebu mvueni viatu vya zawadi ya birth day ya mtoto jamani! Click to expand... aisee...
Munru JF-Expert Member Oct 19, 2010 1,340 664 Jul 27, 2012 #6 sipati picha mwendo wake utakuwaje, sijui atakuwa anatembea kawaida , au atakuwa ana dunda dunda kama kitenesii
sipati picha mwendo wake utakuwaje, sijui atakuwa anatembea kawaida , au atakuwa ana dunda dunda kama kitenesii