Kinachowafanya wazimie nini haswa?
First time nafanya sex nilikuwa na 21 yrs lakini cha ajabu imekua karaha na sio raha tena maana kila ninapo sex na wasichana wamekuwa wakizimia na nimekamatwa na polisi mara 3 mara ya 3 ilikuwa 28-8-2011 polisi kigamboni, msichana wa kwanza first aid hakuzinduka mpaka hospital na wapili hivyohivyo ila watatu alizinduka kwa first aid japo ilichua muda.
Majibu ya daktari nikwamba mapigo ya moyo yalikwenda kasi isiyo kawaida wakati tunasex na kasema ni hatari inaweza kusababisha kifo na watatu alipozinduka hajitambui wala kuniambia chochote sasa nahisi siku ntafukwa maisha maana jamii haitanielewa.
Bahati nzuri wote hawakuwa wanafunzi maana ningeumbuka mpaka sasa ningekuwa jela,sasa nahofu kubwa inayopelekea kupoteza hisia maana siinjoy kabisa maana wanazimia wakati nakuwa sijafika hata goli moja na wanapozinduka nakuwa sina hamu nao tena, nao wanaogopa nikiwagusia so mimi sijui lakufanya nn ili nifurahie mapenzi. I'm serious nahitaji msaada ama ushauri
We ndyoko hahh labda kalirudi kudai fidia!
hahahaaa Mj1 weweee.......!!! Dah! Haya bana.
Khaaah!!mkuu,hiyo mashine yako ina inchi ngapi kwan?
Utanisamehe kua issue yako yawezekana kubwa but nimecheka mno... mpaka roho kufurahi.... Mapigo yaenda mbio saana eeeh?? Dah! Mkuu labda kabla hatuja anza assumptions ya tatizo hapa labda utujulishe kama wee ni regular size au abnormal size....
mkuu umbo lako la mwili ukoje? Isije ukawa una kg 300 halafu una apply style ya misheni bila kuzuia uzito wako wote kwa mpenzi wako when sexing. Hii ilimtokea mtu Udsm 2002 hall 6. Jamaa, bonge, akachukua katoto c kakazimia wakati wa sex. Bahati yake alizinduka tulipommwagia maji. Ila ajabu after 2 days katoto kakaja tena, wanawake bwana, lol!
HUU NI UWONGO MTUPU.....YAANI WANAWAKE WATU WAZIMA AMBAO SIO WANAFUNZI WAZIMIE?????
HIVI UNAJUA 'SCIENTIFICALLY' MWANAMKE ANAWEZA KU SEX NA HATA WANAUME KUMI KWA SIKU??????
Kwenye sex wanawake wako more strong kwa sababu wako kwenye 'receiving end' ndo maana unasikia
msichana kabakwa na watu kumi au zaidi na 'kajikausha' hata hospitali hakwenda....