Usilolijua litakusumbua, wangejua wakenya hawajui kiingereza wala kiswahili bali lugha za makabila yao wala wasingejidhalilisha hivyo. Wangejua ukweli kuhusu hali za maisha hasa kwa watu wa kawaida huko Kenya wala wasingepoteza muda wao. Wenzenu wakitoka huko na kuja Bongo wanaona wako peponi ikilinganishwa na kwao ambapo wezi wachache wamekomba kila kitu. Wangewachunguza wanavyoogopa hata kununuliana bia na vitu vingine vidogo wangeachana na kamradi hako ka hasara na aibu. Kiiingereza mbona ni lugha kama nyingine sema tofauti yake ni kwamba inaongelewa na watu wengi duniani?
Nitafurahi sana nikipata anyeongea Francee
Kuna maneno kwa kiswahili kutamka mazitoNachukia mijanaume inayoongea kiingereza, raha ya kutongozwa mtu atumie kiswahili loh......
Heri yangu mie alikuja anaongea KISUKUMA ndio nikamkubali....Lol
Umeniwahi,nilitaka kuwaambia vesi zinashuka kisukuma na kama kuna ambaye haamini ani PM namba yake nimshukia vesi Kisukuma kama atanikataa...
kumtongoza mwanamke ni 'timing' tu..
Sio lazima kujua kiingereza, kiswahili,,n.k.
Kikubwa mpangilio wa 'verses' zako
Ovyo kabisa hao!Nimegundua dada zetu wa ki Tz wanavutiwa sana na wanaume wanoongea Kiingereza...haijalishi wa nchi gani.
Pia huwa ni vigumu kukataa kama wakitongozwa kwa kidhungu.... ndo maana wakaka wa kikenya wanatumalizia dada zetu... mfano hai ni wadada wengi wanaofanya kazi ofisi moja na wakaka wakenya eti nao wana lafudhi ya kikenya kwenye kiinglish chao...au kama kuna mgeni ambaye hajui kiswahili ofisini basi utakuta anajistorisha na huyo mkaka kwa kizungu kwa sauti alafu utakuta anacheka hata kama kitu hakichekeshi.
I like the guy who is maltilingual but that can not be a motivating fator to fall on him but only an added advantage.