INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,271
habari wana Tech,kichwa cha habari hapo juu sijakiweka kama swali mtani wia radhi,nilitaka kujua endapo mtu akiamua kusoma maybe certification ya CCNA(CISCO) ,Concept in programming,orWeb designing,what i know hizo ni professional certification. je mtu wanamna hii anaweza kuajiriwa?au kujiajiri mwenyewe..?? nini bora kati ya hivi na soka lake mtu wa aina hii linakuaje hata kama hakupata ajira..!!