Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
- Thread starter
- #21
Mkuu luvcyna logiki nyepesi kabisa ni kuwa wao kura zao eg Ant Ezekiel zitaenda ukawa, vipi kwa wale ambao piga galagaza wanawaamini wao ambao ni maelfu kama sio mamia kwa kuwa wapo ccm watampigia mgombea wa ccm.
sasa naanza kuelewa kwanini ccm ili wanunua kwa dau kubwa hivyo. 50m siyo mchezo. hata mimi ningekubali mara moja