Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Chukulia Mfano wa wanafunzi wanaochukuliwa mabwenini kwenda kwenye mikutano ya kampeni kwa ahadi ya kubadilishiwa chakula kutoka ugali wa maharage kwenda kwenye wali nyama hivi angeacha kweli kuvaa hizi nguo tu.Nao ni wapuuzi tu kama wenzao walio ccm, haiwezekani ukawa na mashabaki ukapanda jukwaani na kumnadi mgombea wa c mbele za wafuasi na mashabiki wako then unajificha nyuma ya bustani na kusema utapiga kura yako kwa mru tofauti na yule uliyekuwa unamkatikia viuno ktk jukwaa la kisiasa! Kura yake moja upinzani lakini kura elfu za wafuasi wake sisiem.
Chukulia Mfano wa wanafunzi wanaochukuliwa mabwenini kwenda kwenye mikutano ya kampeni kwa ahadi ya kubadilishiwa chakula kutoka ugali wa maharage kwenda kwenye wali nyama hivi angeacha kweli kuvaa hizi nguo tu.
Chukua na wafanyakazi wa A-Z waliolazimishwa na muajiri kuwa usipoenda kwenye mkutano kazi huna utaacha kweli kuvaa hizi nguo tu. hivi anaweza kuwaza mzee mwanakijiji tu kw kweli
Ukishajuwa kuwa pesa wanazotuhonga ni kodi zetu wenyewe, basi siyo kosa kuzila. ila kura zetu ni kwa Lowassa.
Kula ccm kura UKAWA
Mhadzabe. hii inamaanisha kujaza watu kwenye kampani kuwa ndiyo tija. watu wana piga mkwanja wanaenda zao. unafikiri wakina ray na anti ezekieli watampigia kura nani. najuwa hawawezi mpigia magufuli. kwani ccm wapo kikazi zaidi.
Thinking out loud
Chukulia Mfano wa wanafunzi wanaochukuliwa mabwenini kwenda kwenye mikutano ya kampeni kwa ahadi ya kubadilishiwa chakula kutoka ugali wa maharage kwenda kwenye wali nyama hivi angeacha kweli kuvaa hizi nguo tu.
Chukua na wafanyakazi wa A-Z waliolazimishwa na muajiri kuwa usipoenda kwenye mkutano kazi huna utaacha kweli kuvaa hizi nguo tu. hivi anaweza kuwaza mzee mwanakijiji tu kw kweli
watoto mashallah hawa