Re: Happy Birthday JAYJAY

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,177
41,070
JAYJAY
Today 13:33

wewe uliyeanzisha hii thread nakushukuru sana kwa hii thread yako kunikumbusha kuwa na mimi ninatimiza miaka kadhaa leo hii, akhsante sana! bila hivyo ingenipita hivi hivi maana nilishasahau!


happybirthdayglitter.gif
 

Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,676
652
Today 07/10 ni birth day ya Mkuu wa Kaya Mhe. Dk. J.K. MRISHO. Baba hongera kwa kufikisha miaka 61. Akuongezee mingine nusu ya hiyo, ikiwa zaidi ni mateso. Hongera sana Mhe. tupo na wewe
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom