Re: GARI KULIPA KWA AWAMU

Re: GARI KULIPA KWA AWAMU

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,983
Reaction score
10,351
Habari wakuu,
Jamani mie nilikuwa na pesa ya nusu ya thamani ya aina ya gari ninalohitaji.
je kuna sehem wanakopesha kwa kulipa nusu ya gharama then kulipa kwa awamu kila mwenzi na terms zipoje?
Gari ni kwa biashara kwahiyo nilipe nusu kisha nipewe nifanyie kazi.
Gari takuwa mali ya wahusika mpaka nimalize deni ndio tunaweza kuchange documents ili hiyohiyo ndio iwe dhamana yangu.
 
Mkuu utapata tu wako wengi, kwani unahitaj gari aina ipi?
 
Afri carriers wanatoa mkopo unalipa kama asilimia 40 unaacha kadi na gari lazima liwe na Insurance unapewa Mkataba either wa kulipa kila wiki hadi Mwezi... Wana mabasi aina ya Eicher yanalipa kibiashara...
 
Ni safi,eicher kwa mkopo inaenda kwa ngapi?
 
Ni safi,eicher kwa mkopo inaenda kwa ngapi?

Mkuu mimi si Afri Carriers ... kawaone wapo Nyerere road... mie nakumbuka bei ya Zamani ilikuwa kama million 70 hivi ilikuwa unalipa 30m then unapewa mkataba.... Eicher ndefu kama hizi za UDA
 
Shukran wakuu kwa ushauri,maana unaweza kuishi mjini nausijue lolote,ila humu Jamii forum ni shule Tosha..Watu wanajua chochoro zote.Blessed

Nimependa Ushauri wenu wote mliochangia na nitaufanyia kazi.

Je Terms za ulipaji wa mwezi kwa makadirio zipoje,ili iwe guideline yangu.
 
Mkuu hembe nipe Emails za Africariers
Maana hata website yao siioni nahawa najua ni wakubwa sana.
Maana Nataka niwailiane nao kwanza ili nijue Terms zao.

gftrucks pia nipe email ya muhusika
 
safi sana nimeupenda mjadala watanzania muda si mrefu tutafika kuwa watu wa pato la kati,pia jukwaa hili limekuwa ni msaada sana wachangiaji wenye busara mwaka jana walinielekeza duka fulani hapa town kweli nikapata mzigo imara unadunda mpaka leo bila tatizo thanks alot JF members be blessed
 
Back
Top Bottom