RE: Daktari na Vichaa


Lamchina

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
240
Points
0
Lamchina

Lamchina

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
240 0
Kuna Daktari mmoja wa wagonjwa wa kichaa huko milembe alikuwa anawatest wagonjwa wake kama wamepata nafuu.
Daktari akawaambia waannze kulia kama kama kuku. Wagonjwa wakaanza kulia wengine kama kuku jike wengine kama majogoo na wengine kama vifaranga.

Daktari katika angalia yake akagundua kuna mgonjwa mmoja alikuwa amechuchumaa katika kona amekaa kimya halii kama kuku. Akaona afadhali amepata mgonjwa mmoja aliyepona. Akamfata yule mgonjwa na kumuuliza

Daktari: Mbona wewe haulii kama wenzio
Mgonjwa: Shiiiiih! nataga!
:mimba:
 

Forum statistics

Threads 1,295,171
Members 498,180
Posts 31,202,230
Top