Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wadau,
Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri wa mwanasheria?? Naomba ufafanuzi, huenda ninakosa kazi kwa ajili hii..Mimi nikiapply kazi, hutoa copies za chuo na sekondari na kuambatanisha na letter of application basi, napeleka. Labda kuna jambo linatakiwa kufanywa kwenye copies za vyeti?? Nisaidieni leo jamani..,Kuna kazi nime apply na leo jioni ndo deadline, asanteni...
certified true copy of original....chukua vyeti vyako original,piga copies kadhaa then peleka kwa mwanasheria au hakimu
copies hizo pamoja na originals zake atakupigia muhuri kwenye copies hizo pamoja na kusaini.maana yake atakua amethibitisha hizo ni true copies of originals which you are ready to present in person upon request.
kweli watafuta ajira tuna kazi. kucertifie cheti kimoja Tsh 3000 manake muhuli au sahihi moja ya mwanasheria ni Tsh 3000. Assume kuna taasisi tatu zimetangaza kazi ainamoja na hayo ndo masharti. bado stamp, hela ya magazeti.
Kwakweli kazi tunayo.

Usiogope. JF ni zaidi ya kununua magazeti. Pia kama unatafuta ajira nenda zilipo maktaba za mikoa unajisajili kama mwanachama halafu unakuwa unaenda kusoma magazeti yote yanayotoka kila siku kwa ada yako ya uanachama wa kudumu na kama wewe si mwanachama wa kudumu basi unaweza kenda kulipia uanachama wa muda tu yaaani kwa siku moja then utasoma magazet yote uyatakayo.
Tumi mbinu hiyo mimi ilinisaidia sana wakati nasaka kibarua nilikua ninaenda maktaba kuu DSM kwa wiki mara moja nalipia sh 1000 kwa kutumia maktaba kwa siku then nasoma magazeti yote yaliyotoka wiki nzima na Mungu alinisaidia nilipata kazi kupitia matangazo ya magazetini.
USIKATE TAMAA JARIBU KILA FURSA UIONAYO MBELE YAKO
watanzania kama wewe ndo wanahitajika,,,,,,umeweka pembeni lawama ukauvaa upambanaji,,,,karibu futari mlingotini,kesho itakua MSOGA
kweli watafuta ajira tuna kazi. kucertifie cheti kimoja Tsh 3000 manake muhuli au sahihi moja ya mwanasheria ni Tsh 3000. Assume kuna taasisi tatu zimetangaza kazi ainamoja na hayo ndo masharti. bado stamp, hela ya magazeti.
Kwakweli kazi tunayo.
You are one in a millionserikali