Blackberry 9320 - mpyaa kabisa, haijawahi kutumika hata maramoja inapatikana. Inakuja na kila kitu chake kama headphones, USB cable, vichwa viwili aina tofauti vya charger na user manual book yake. Bei ni 300,000/=, inapatikana Dar es salaam. Karibuni