Re apology ; leo tuko hapa pub

Re apology ; leo tuko hapa pub

Yap and we kip doin every day,everytime are u satisfied ?

:tape2:this is more than i excpected! nway..hata nsipokuwa satisfied...

#ndege ya raisi lazima inunuliwe!!!:A S 39:

Halafu amu, mi sauti yako tu ndo nataka kuisikia..nimeku-pm my mobitel..ebu ni-dip niku missed call!
 
Last edited by a moderator:
Liwalo na liwe...nitauliza tu, DD U MEAN U DID ZE NIDFUL!??

Cc: Asprin
Nimekuja dogo, hebu nitafsirie hayo mashairi ya amu.
Huu umri, sisi haikuwemo kwenye silabasi yetu.
 
Last edited by a moderator:
sina la maana la kujitetea, ila najua sijatenda haki. Mtambuzi, Madame B, vin diesel, Kipaji Halisi, KakaKiiza, amu, Paloma, Zion Daughter na wadau wengine nilio waahidi kuja na wale wote waliokuwa wakinitegemea hasa Mzee wangu mheshimiwa Afande kueoka jeshi la wajeda, naomba mnisamehe sana kwa kushindwa kuja kuhudhuria warsha ,
kongamano na semina elekezi yetu pale NGURDOTO YA DSM!
Ndugu zangu sitaki kutotoa hadhari mayai ya sababu ya kufeli kwangu, jamani nisameheni puridhíiiiiiiiiiiiiiiiii

Nimekusamehe lkn hata mimi sikwenda my dear
 
Last edited by a moderator:
We mi cna sauti kuna mtu anaitwa anaitwa Preta ni balaaa watu8 alisema sauti yangu kama avatar ya nitonye
:tape2:this is more than i excpected! nway..hata nsipokuwa satisfied...

#ndege ya raisi lazima inunuliwe!!!:A S 39:

Halafu amu, mi sauti yako tu ndo nataka kuisikia..nimeku-pm my mobitel..ebu ni-dip niku missed call!
 
Last edited by a moderator:
:tape2:this is more than i excpected! nway..hata nsipokuwa satisfied...

#ndege ya raisi lazima inunuliwe!!!:A S 39:

Halafu amu, mi sauti yako tu ndo nataka kuisikia..nimeku-pm my mobitel..ebu ni-dip niku missed call!

Mbona unaenda direct moja kwa moja bila C/O me, tartiibu wewe.

Copy: ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaenda direct moja kwa moja bila C/O me, tartiibu wewe.

Copy: ladyfurahia
Baba V kwani wewe na amu kuna anysing going on!??

We mi cna sauti kuna mtu anaitwa anaitwa Preta ni balaaa watu8 alisema sauti yangu kama avatar ya nitonye

avatar63949_3.gif

Hehehe....
 
Last edited by a moderator:
haaa haaa! my husband ndo nini tena yaani sauti ya amu ni nzuri kuliko ya mkeo? hapatakalika home leo, nashukuru Baba V amenitambulisha isingekua yeye nisingeelewa kinachoendelea humu ndani, yaelekea wewe nikitoka tu unawaleta watu pale home, naomba pls nisije nikaenda kwa kasisi kusitisha lile agano letu, yaani leo nakwambia ukija home hapatatosha lazima unieleze amu ndo nani?

Back
Top Bottom