(Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

(Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

Shule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma:
Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa sasa. Kwenda WhatsApp namba: 0653 250 566.
Zaidi: usipige simu, tuma ujumbe whatsapp pekee.
Kwa nini limerudiwa kutangazwa?
Katika tangazo la kwanza, watu wasiofahamika nia yao walisema ni tangazo la utapeli, hivyo alijitokeza mwombaji mmoja pekee katika usaili. Niwasihi watu kuwa, tuache kukatisha waombaji tamaa kwani si kila tangazo ni la kitapeli.
We dogo Makoba acha uhuni Mimi I hate that shit kutumia watu with ur own benefits
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom