(Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

(Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
773
Reaction score
668
Shule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma:
Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa sasa. Kwenda WhatsApp namba: 0653 250 566.
Zaidi: usipige simu, tuma ujumbe whatsapp pekee.
Kwa nini limerudiwa kutangazwa?
Katika tangazo la kwanza, watu wasiofahamika nia yao walisema ni tangazo la utapeli, hivyo alijitokeza mwombaji mmoja pekee katika usaili. Niwasihi watu kuwa, tuache kukatisha waombaji tamaa kwani si kila tangazo ni la kitapeli.
 
Sisi wa 2015 hamtutaki kibasaaaa😭😭😭
 
Kuna mahusiano gani kati ya kufundisha na mwaka wa kumaliza chuo?
Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kazi
Hapo sawa. Lakini kunambia hawa mad9go wana skills za kufundisha ati kwa sababu wamemaliza hivi karibuni mie nakataa.
 
Taja specific subjects, hakuna bachelor of education (general). Vinginevyo ni utapeli
 
Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kazi
Kuna kazi za muda mrefu, imani yetu ni kwamba, kijana mpya zitamfaa. Mfano, vipindi vya ziada n.k.
 
Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.
Nguvu za nn? Unataka abebe wanafunzi mgongoni? Hembu acha blabla bwana. Hivi ualimu wa mathematics unahitaji nguvu ya kufanya nn?
 
Nguvu ya kufundisha muda wa ziada. Kwa mfano, wanapotoka vipindi vya kawaida, atatakiwa afundishe zaidi vipindi vya ziada. Hapo huleta utata mnapokuwa na mtu mwenye familia hasa akikumbuka mume na watoto.
 
Wa miaka hii anakubali kulipwa mshahara mdogo sababu hana majukumu. Anakuwa cheap labour na bado hajitambui.
Kweli watawapata kwa wingi mana hawa ndo wale wanaweza kuwanyonyesha watoto ndushe zao kama yule wa mikocheni miaka ile
 
Sisi wa 2015 hamtutaki kibasaaaa😭😭😭
Hawa wapya walimu watawalipa laki tatu ama mbili ivi wanawambia kuwa hamna uzoefu sidhani Kama watatoa hata laki nane net kwao. Yaani wanacheza na mindset zao
 
Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.
Kwanini usiwe mkweli kuwa mnahitaji Cheap labor.

Kwakuwa nguvu inahusikaje hapo na mwaka wa kumaliza Chuo

Ni kwamba mnatafuta recently graduate ambao mtawanyonya na kuwapa low wages.
 
Upo sahihi mkuu, tunahitaji graduates ambao tutawalipa mshahara mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom