RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

Kuna tetesi nitapewa mimi Ukuu wamkoa Kilimanjaro... naomba ushirikiano wenu
Msiniandame sana JF.. kama naharibu mnani inbox..
 
Huyu jaji msuya huyu ndio aliwaachia wale wapakistani waliokamatwa na makilo 200 ya cocaine.. Wale ndugu zake rost ham
 
 
Naona baadhi yenu mmejaribu kudadavua sababu za kuachia ngazi kwa waheshimiwa hawa bila mafanikio. Nasubiri vumbi litue nije nimwage humu mbivu na mbichi za chanzo cha kujiuzuru kwao. Hii serikali yetu ya kimabavu inachuma dhambi kubwa sana.
Bado vumbi halijatua tu?
 


Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…