RC Tanga amdhalilisha mganga mkuu wa wilaya

Kweli hi Tanzania imejaza watu ambao ni wanyanyasaji sasa mtu asinywe maji kisa Rc huwez jua huyu Dr anamatatizo gan?huenda maji ndo tiba yake kaaaaaaaa!
 
huyo RC nyie mwacheni tu, awaulize wenzake waliotangulia hapo tanga, hawajui watu wa tanga huyo, atanyambulika kama samaki siku moja ajishangae, ye anavyoona watu mjini tanga wako kimya kimya anajua atawachezea, amuulize makamba kilomkuta enzi zake, labda mganga mkuu aweke ubinadamu sana mbele. au amuulize kalembo kitu gani kimemtoa hapo tanga. haya we mwache na hivi ni mwana mama huyu, asije akapata siku zake bila ukomo! hawajui huko eeh
 
Mkuu...na wanao pigwa nao wanawaendekeza....yaani kunywa maji unapigwa then unasubiri mahakama ndo isemee utu wako?????

Bora nikae hukuhuku bila hata kuwa na audience na watu wa namna hiyo...........kuua bila kukusudia yaweza kuwa kichwa cha habari
Nahisi tutaanza kuwa na magaidi kamaunyanyasaji utaendelea hivi, binafsi siwezi kuchapwa kibao hadharani nikamwacha eti kwa sababu tu nataka kuendelea kuwa DMO, hapo lazima pachimbike bila jembe! upuuzi huu wanaweza kuuvumulia wenye roho laini tu! mpaka mahakama ije inipe haki ni baada ya muda gani? hapo akirusha kofi na mimi namrudishia kofi bila kujali polisi watanifanya nini! huu ni upumbavu wa hao wanaojiita viongozi uchwara kuendeleza unyanyasaji wa raia usio na maana! shame on the appointing body! Ukiona mtu anateua wapumbavu kumuwakilisha ujue na yeye ni Mpumbavu, mtu makini hawezi kuteua wpuuzi kumuwakilisha mahali fulani!
 
huyo RC nyie mwacheni tu, awaulize wenzake waliotangulia hapo tanga, hawajui watu wa tanga huyo, atanyambulika kama samaki siku moja ajishangae, ye anavyoona watu mjini tanga wako kimya kimya anajua atawachezea, amuulize makamba kilomkuta enzi zake, labda mganga mkuu aweke ubinadamu sana mbele. au amuulize kalembo kitu gani kimemtoa hapo tanga. haya we mwache na hivi ni mwana mama huyu, asije akapata siku zake bila ukomo! hawajui huko eeh

Mkuu, huko T-line ndio nyumbani. Ungenisaidia sana kuweka hapa yaliyowakuta hao wakulu! huku mikoani tuliko tunaona tu wakulu wanakuja mkoani kwetu na kuhamishwa kumbe kuna Story behind the uhamisho wao! Hebu tumegee mkulu tujue kinachoendelea kwetu...!:popcorn:
 
Nahisi tutaanza kuwa na magaidi kamaunyanyasaji utaendelea hivi, binafsi siwezi kuchapwa kibao hadharani nikamwacha eti kwa sababu tu nataka kuendelea kuwa DMO, hapo lazima pachimbike bila jembe! upuuzi huu wanaweza kuuvumulia wenye roho laini tu! mpaka mahakama ije inipe haki ni baada ya muda gani? hapo akirusha kofi na mimi namrudishia kofi bila kujali polisi watanifanya nini! huu ni upumbavu wa hao wanaojiita viongozi uchwara kuendeleza unyanyasaji wa raia usio na maana! shame on the appointing body! Ukiona mtu anateua wapumbavu kumuwakilisha ujue na yeye ni Mpumbavu, mtu makini hawezi kuteua wpuuzi kumuwakilisha mahali fulani!

Nakubaliana nawe.
Naongeza kuwa hawa wateuliwa pia wana chembechembe za kutojiamini.
Mdharau sana mtu ambaye kwenye kushindana hoja anakimbilia kurusha ngumi ama matuzi kama yule wa Korogwe.
Huyo aliyemchapa mtu kibao ameona kama vile amedharauliwa sana kwa huyo DO kunywa maji wakati yeye anaongea!
Bila shaka anaona ni haki yake kuwa yeye ndio anywe maji kwanza ndipo watu wote wanywe na kwa DO kuanza kunywa maji kabla yake basi ni kama amemdharau!
Kaaz kwelikweli.

Anaitwa nani huyo mkuu wa mkoa?

Mkuu wa Mkoa wa Tanga ni CHIKU- aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke- ni mwanamama machachari kwelikweli! Jambo dhahiri na hulka yake- HAJIAMINI! Yeye hutia mashaka kila kitu, kwa kadiri ninavyomfahamu hasa wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Temeke.

Na kama ni kweli amefanya hivyo- basi nadhani sasa ameanza kupaa- ameanza kulewa madaraka, amejikuza! Doh huyo Mganga! Hakuwa na mkono akaukunja ukawa ngumi na sio nyanya?
 
habari iko kimbeya zaidi, sema nani kzabwa na ni wapi na ilikuaje; tuko kwenye zama za kutajana............ usisababishe wengine tulio ma_DMO kuulizwa na wake zetu kama tumezabwa vibao funguka zaidi wewe ki***

unaongea kama Nape

nyambaff
Nakuunga mkono mkuu, stori imekaa kama imeletwa na Nape baba wa majungu ambaye leo amepewa darasa na Lisu akabaki anakenua meno kama anatongozwa!
 
Mkuu, huko T-line ndio nyumbani. Ungenisaidia sana kuweka hapa yaliyowakuta hao wakulu! huku mikoani tuliko tunaona tu wakulu wanakuja mkoani kwetu na kuhamishwa kumbe kuna Story behind the uhamisho wao! Hebu tumegee mkulu tujue kinachoendelea kwetu...!:popcorn:
Mkuu ahsante kwa swali zuriii, hakika hata mie nilizamilia kuliuliza hapa!! Mkuu follow me, tupe vya Tanga - Line mkuu.
 
Anaitwa nani RC huyu?
Angefaa sana enzi za ukoloni wa kijerumani 1885-1918 lakini si Tanzania
ya leo.

Teh teh teh! huyo alopigwa naye hana mpango! we unatandikwa alafu hujafungua kesi mpaka sasa unangoja nani akusaidie?! wabongo kwa kulewa madaraka bana! yani huyo RC anajiona hawezi kufanywa lolote sio?!
 
Tatizo la inferiority complex kwa viongozi wetu! akilinganisha elimu yake na ya daktari anahisi yuko low upstairs sasa ukichanganya na kitendo cha dokta kunywa maji anajiona kama kazalauriwa, hivyo lazima atake kujitutumua kuwa ana power! shame on the appointing body again!
Mkuu wa Mkoa wa Tanga ni CHIKU- aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke- ni mwanamama machachari kwelikweli! Jambo dhahiri na hulka yake- HAJIAMINI! Yeye hutia mashaka kila kitu, kwa kadiri ninavyomfahamu hasa wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Temeke.

Na kama ni kweli amefanya hivyo- basi nadhani sasa ameanza kupaa- ameanza kulewa madaraka, amejikuza! Doh huyo Mganga! Hakuwa na mkono akaukunja ukawa ngumi na sio nyanya?
 
Tatizo la inferiority
complex kwa viongozi wetu! akilinganisha elimu yake na ya daktari
anahisi yuko low upstairs sasa ukichanganya na kitendo cha dokta kunywa
maji anajiona kama kazalauriwa, hivyo lazima atake kujitutumua kuwa ana
power! shame on the appointing body again!

Kweli mkuu unajua ma vyeo hayo wanapeana kisiasa tu,hawaangalii upstairs! ni watu wa kujipendekeza kwa aliyewateua na kudharau watu wengine.
 
Hata huyo Mganga mkuu pia ni Mpumbavu, unapigwa na kuangalia? Kama ni mimi mganga mkuu pangechimbika hapo lazima ningemtoa meno na kumuumiza huyo Kilaza RC. Bora shari kalimili kuliko nusu shari
 
Mkuu, huko T-line ndio nyumbani. Ungenisaidia sana kuweka hapa yaliyowakuta hao wakulu! huku mikoani tuliko tunaona tu wakulu wanakuja mkoani kwetu na kuhamishwa kumbe kuna Story behind the uhamisho wao! Hebu tumegee mkulu tujue kinachoendelea kwetu...!:popcorn:

huko pia na mimi ni kwetu! tanga ukienda nenda kwa yako na kazi zako, usifanye jeuri kwa watu wa kule aisee, ni hatari sana wale watu na ni wazuri sana ukiishi nao kwa wema. MAKAMBA alikuwa mjeuri na kiburi sana pale alkipofika kwanza aliwapiga mkwara watu wa tanga kwa kuwaambia eti nyinyi watu watanga mimi hamtoniweza kwa lolote kwa chochote na hata kwa uchawi, sasa yule jamaa wazee wa tanga wakamuendea kwa kiutu uzima na na kumpa ujumbe kuwa awaeshimu watu wa tanga bado akaleta jeuri na kiburu kwenye nyanja zake zote za mamlaka, basi wazee wakamfanyia mambo wakamwambia hata siku uchukui lazima uondoke hapa tanga, basi jamaa soon kukawa na ujio wa rais mkoani tanga yani uwezi amini wakati anajiandaa kumpokea rais mkoani pale tanga rais yuko anajiandaa na safari na yuko safarini, mkulu makamba anapokea simu na kuambiwa haraka sana mara moja ondoka hapo tanga nimekuamisha na kupelekwa kwingine kama sikosea ni moro ivi, mana sikuwa na mri wa kisiasa sana by that time nilikuwa nilkizisikia tu sana stori kilichojiri so hakuweza hata kuonana na rais tena na kumpoke yani rais yuko safarini na yeye yuko njia ameshatolewa.

KALEMBO yeye ubabe wake wa kijeshijeshi, ndo uliomtoa pale kwani alikuja na kasumba zake za kusafisha mji'' ni nzuri sana idea hiyo'' lakini alikuwa akifanya kionevu na kuwatoa watu hata mahala pasipostahili kwanza mji wa tanga haukuwa na msongamano wa wafanya biashara katikati ya jiji ambao kuwa watapelekea uchafuzi wa ajabu saaana! ni maendeleo na hatua nzuri ila naye aliamuua kufanya vile kwa ubabe na kuwapiga watu mkwara kuwa hamtoniweza kama mwenzake tu, tena yeye kidogo alipata bahati ya kuungwa mkono na raia wa tanga pale alipomsimamisha kazi mkurugenzi wa manispaa baada ya kuchakachua barabara ya bombo kwenda raskazone, ila neye the same ishu pia, yani hawa wakuu huwa wanapakimbia aisee kule.
kuna kibaunsa kimoja ndo kilikuwa maarufu kwa kubomoa maeneo ya watu, kilifika kwa bibi mmoja hakikuuliza kikabomoabomoa yule bibi alimwambia mjukuu wangu subiri nitoe hivi vyombo vyangu, basi alipotoa yule bibi aliondoka akimwambia haifiki kesho na wewe utatolewa kama ivi vyombo kale kabaunsa kakasema hunalolote wewe, mkuu palepale akashikwa na tumbo baada ya yule bibi kuondoka peleka bombo jamaa zidiwa akaanza kunyumbulika kama samaki ukimshika ngozi, watu nendatafuta yule bibi hakupatikana tena, kesho akafariki kwenye kumzika kila wakichimba kaburi wanakutana na siafu tuuu, basi alifukiwa hivyo hivyo yule jamaa!

mkuu, tanga ni mji mkubwa kiramani ila kilocation ya watu ni mdogo mno, sasa nakushauri ukifika tanga mueshimu na take care kwa kila unaemuona, kiburi au ubabe tuufanye hukuhuku dsm mana dsm zaidi zaidi utapambana na usalama,mjeshi,polisi ivi ukileta zaraukwake kama umjui, but tanga unaweza pishana na dada mrembo tu wa kawaida huwezi mzania kumbe ni mganga wa kienyeji sasa ukimfanyia yale tunayoyafanya mwenge,ubungo kkoo sijui psiii psiiiii mara tusi nini, unafikiri what next? kunawazee wakarimu mno ila ukiwachefua kwa umjini wako dooooh imekula, yani tanga iache kama ilivyo mkuu! namuonea sana huruma huyu mama we mwache tu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga ni CHIKU- aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke- ni mwanamama machachari kwelikweli! Jambo dhahiri na hulka yake- HAJIAMINI! Yeye hutia mashaka kila kitu, kwa kadiri ninavyomfahamu hasa wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Temeke.

Na kama ni kweli amefanya hivyo- basi nadhani sasa ameanza kupaa- ameanza kulewa madaraka, amejikuza! Doh huyo Mganga! Hakuwa na mkono akaukunja ukawa ngumi na sio nyanya?

chiku galawa ameota mapembe!
 
Back
Top Bottom