RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa Ukraine rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
Mnapofanya vitu mnahitaji kujifunza kwani birthday ya rais lazima ufanye editing ya picha yake uonekane unampampenda
FB_IMG_1572541708139.jpeg
 
Stop advertising your foolishness.Ni wapi sheria imemtaja RC?Makosa ya jinai yanashughurikiwa na RC kwenye social media tena kwa jina ambalo ni unofficial .Haya mambo ni ya kitaaluma acha ujïnga menina
Hata wewe sheria inakuruhusu kumkamata mtu anayefanya kosa la jinai mbele yako. Kasome CPA - power of arrest!
 
Bi mkubwa kaamuru huyo msanii akamatwe wewe ni nani mpaka uhoji ?
Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa Ukraine rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
 
Mnapofanya vitu mnahitaji kujifunza kwani birthday ya rais lazima ufanye editing ya picha yake uonekane unampampendaView attachment 1251641
Nia ya Idris haikuwa mbaya pamoja na sheria kusema hayo ilio yasema. Well hata hivyo RC sio msimamiz wa sheria na kama anahocho cheo basi sawa na hongera ila nacho juwa hii sio kaz yake.
 
Bashite ndiyo mkuu wa kamati ya ufundi ya mtukufu pia ni msiri wake na mshauri wake mkuu hasa ukizingatia pia ni Dalali wa ununuzi wa Ndege na madili mengineyo kibao likiwemo la ujenzi wa chato Airport ambapo Bashite hula kupitia kampuni zilizopewa tenda kwenye miradi yote mikubwa Nchini.
Jamani kiongozi kutukana ni kujidhalilisha ndio maana wanapokosa kura wanaanza kusema wameibiwa kura zao kumbe ni ulimbukeni wao uliowaponza
 
Sioni kama Raisi anapashwa kujibu popote, labda kama kuna sheria inayokataza 'utani' wa aina aina hiyo. Sana sana angewaambia wahusika huko kimya kimya waachane na kulikuza suala hilo. Isije kufika uchaguzi mtu akaogopa kutiki kwenye picha ya raisi akatiki kwa picha ya atakayekuwa ametabasamu zaidi asije kupata "matatizo" yasiyotegemewa.
Una hoja lakini wapakua viroja watakupinga.
 
P. M ndiyo mtu mwenye nguvu akitoka citizen # 1

Ova

hakuna kitu kama hiyo mkuu Poul Makonda almaarufu DAUDI ALBERT BASHITE mmemuinua nyinyi wa mitandao huwezi kusema ndiye mwenye nguvu kwahiyo unataka kutuaminisha yupo juu ya VP Mama SAMIA na PM MAJAALIWA
 
Kisha nikasikia sauti kutoka kiti cha enzi ikisema huyo ni mwanangu mpendwa msujudieni yeye.
Ni hilo mleta uzi.
 
Tatizo kubwa wakati mwingine ni kupewa 'viatu vikubwa' kuliko mguu.Vinapwaya mno.
 
Back
Top Bottom