RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

Mkuu mimi nilijua wew ni Bashite mana unafurahia sana vitendo vya utekaji awam hii ķumbe vuvuzerá uliyekatwa mkia
Yapo mambo ni siri. Ila kamwe siwez kuwa mfuwas wa mkuu wa mkoa wakati Rais ndio mfuwasi wangu na chama end
 
Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa Ukraine rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
Kweli, mfano km Idrisa ile carton imeicholewa nje ya mkoa wa dar
 
Mleta mada mjinga hujui kuwa RC ndie mwebyekiti wa Kamati ya ulinzi ya mkoa? Yeye ndie amiri jeshi wa mkoa wake.Ukileta za kuleta mkoani mwake anaruhusiwa kukushughulikia kwa kofia yake ya kijeshi
RC ni.mkuu wa usalama wa Raisi kwenye mkoa wake
 
Huyu bwana ni mungu mtu..huyu ni kiongozi wa wateule wote na itifaki si kitu kwake kwa kua ni msamiati tu wa kiswahili! Ni vyema akatunza kumbu kumbu maana historia ni somo kubwa sana kwa binadamu kwa siku za usoni!
 
Mleta mada mjinga hujui kuwa RC ndie mwebyekiti wa Kamati ya ulinzi ya mkoa? Yeye ndie amiri jeshi wa mkoa wake.Ukileta za kuleta mkoani mwake anaruhusiwa kukushughulikia kwa kofia yake ya kijeshi
RC ni.mkuu wa usalama wa Raisi kwenye mkoa wake
Unamuta fisiem mwenzako mjinga?
tapatalk_1558685388053.jpeg
 
Bila kuwaza sana, mgeni ktk nchi hii atajua makonda ni next to President na anaogopwa na kila kiongozi ktk utawala huu. Ashukuru tumo ktk mfumpo wa bora utawala. Vinginevyo angesha shitakiwa siku nyingi kwa kuvunja sheria.
 
Hakuna CCM mwenye jina la Tumaini Eli hayo majina yanyoishia na Eli ni ya wafuasi wa chadema anakotoka Mbowe.
Mleta mada mchaga original
Yaani mmekuwa na thinking behaviour kama ya mzee wenu MtuPori! Mtaanza na nyie kuwaozesha binti zenu hovyo.
Mfano wewe ufurahishwa na ujinga wa jingalao unamtangazia "sijui nikuozeshe binti yangu?" Maana ndio tabia za MtuPori hizo
 
Naomba niseme kama raia wa Tanzania nakijana ambaye natafuta ili familia yangu ile nakunywa nimeumia yalio mkuta Idrisa Sultan. Kijana ambaye aliweka picha yakichwa chake kwenye kiti cha rais aki wish tarehe yakuzaliwa mkuu yeye wangebadilishana akale cake pale ikulu. Baada yakuwepo cake nyingi zakumpongeza Rais siku yakuzaliwa kwake.

Kiukweli siku ilifana na kila mtu alifurahi. Jambo wengi mpaka sasa tunashangaa nakuumia ni hiyo siku kubadilika nakuwa siku vijana wengi waliofurah na wazehe waliona ghafla imekuwa uchungu nakumbukizi uwenda wengi hawato zisahau.

Kwanza niseme Kijana Idrisa anandoto kama walizo nazo vijana wengine naamini hata yeye ana wish anaweza kuwa Rais na wala hatuwez pingana naye maana tuna ushuhuda jinsi wana michezo na waigizaji mashuhuri wamekuwa marais wamataifa tena makubwa.
Mfano hivi majuzi tu kunaTaifa la Ulaya limepata Rais ambaye alikuwa ni mchekeshaji tena alikuwa akimuiga Rais alie ondoka ndio alikuwa akimfanyia utani leo yeye ndio Rais. Yes wala sio mbali nijiran na Russia. Taifa Ukraine rais wake ni mchekeshaji.

Nirud kwenye mada RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mtu anaye fanya kazi yakufuwatilia at high level nani anasema nn juu ya Rais. Kipo kitengo kinafuwatilia tena kama Idrisa ile issue yake wangeona ina athari au inashusha kiti cha Rais kiroho safi wangemwambia afanye edit au aondoe picha kiroho safi wala isingekuwa big issue.

Mkuu wa Mkoa kupitia msemaji wa mkoa wake anaongelea mambo ya mkoa wake sio yanayo muhusu Rais. Wasemaji wa Rais ni mawaziri wake na wale walio ktk team ya mkuu wa taifa pale Ikulu.

Jambo linatuuma sote Watanzania nikuona kwa kipindi kirefu RC Wa DSm amekuwa akimsemea Rais mambo wanapaswa waseme watu waikulu na isitoshe ktk maswala ya uongoz na yanayo muhusu rais kuna kitu kinaitwa itifaki. Ndigu zangu itifaki nikama kusema utaratibu umezingatiwa. Je huyu mkuu wa mkoa wa darau yeyote anaye semea kiti je itifaki ya muenendo wapale ikulu imezingatiwa?

Je madaraka ya mkuu wa mkoa kikomo chake ni wapi maana kiukweli sion sababu yakuwa namawaziri na wasaidiz wa Rais alafu mtu ambaye yupo mbali ndio anasemea taasisi nyeti kama ikulu Yes nasema anasemea maana vyombo vyote vya ulinzi na usalama bilishindwa vipi zungumza na Idrisa alafu mtu mmoja akainuka nakusema kijana aende polis na asemea mkuu wamkoa kamwambia aende?

Vipi kuhusu itifaki kwamba sasa mkuu wamkoa yeyote anaweza kusema jambo lolote linamuhusu Rais pasipo idara zingine kuingilia kati?
Yupo wapi waziri wa michezo?
Yupo wapi Mh Jafo?
Yupo wapi waziri wa katiba na sheria?
Yupo wapi Msemaji wa Rais
Yupo wapi msemaji wa serikali?
Yupo wapi mkuu wa maadili ya itumishi wa umma na Kwanini haya yanatokea?

Je taasisi ya Rais sasa inamsemaji wake ambaye yupo nje ya utaratibu wa ikulu? Undercover ?

Je ina maana Rais wetu tulio mchaguwa kwa pamoja nirais mwenye kupendelea na haoni mambo haya vijana wanafanyiwa na kijana mwenzao alie mteuwa kwa ajili yakuwa wakala wa vijana?

Walimwengu labda mnifafanulie wapi ktk jamuhiri hii ya watu wa Tanzania mkuuwa mkoa ndio msemaji wa Rais nje ya mipaka ya mkoa wake?

walimwengu nifumbueni macho nijuwe je Rais anamifumo mingapi ya mawasiliano ukiacha ile inayo onekana na isio onekana?

Je sisi Watanzani tumemchaguwa Rais ambaye hana muda wakufurahi na watu wake na hivyo palipo nafuraha anamtuma kijana wake kuleta huzuni? Pasipo sababu

Kilio chetu nakikurudie mkuu kama vijana ndio haya wanayafanya basi waachen wazee watuongoze sisi tunao vimbiwa makande na kuropoka.
Acha umbulula kasome sheria ya mitandao ndiyo urudi hapa utupe mrejesho. Kosa la jinai RC anaweza kulifanyia kazi kama alivyofanya RC wa Dar.
 
Hakuna CCM mwenye jina la Tumaini Eli hayo majina yanyoishia na Eli ni ya wafuasi wa chadema anakotoka Mbowe.
Mleta mada mchaga original
Kumbe wewe ni mpumbavu kweli yaani unakipaka matope chama chako kuwa kinawachukia wachaga. Kwa taarifa yako huyo ni fisiem na ndiye mnamtumia kuua na kupoteza wapinzani.
 
Yapo mambo ni siri. Ila kamwe siwez kuwa mfuwas wa mkuu wa mkoa wakati Rais ndio mfuwasi wangu na chama end
Acha unafiki wew unamtofautishe Bashite na Rais ,hv bila kuungwa mkono na Yeye unafikiri angeendelea ujinga huu?Mambo ya sir ya utekaji unafanywa na Bashite?
 
Acha umbulula kasome sheria ya mitandao ndiyo urudi hapa utupe mrejesho. Kosa la jinai RC anaweza kulifanyia kazi kama alivyofanya RC wa Dar.
Stop advertising your foolishness.Ni wapi sheria imemtaja RC?Makosa ya jinai yanashughurikiwa na RC kwenye social media tena kwa jina ambalo ni unofficial .Haya mambo ni ya kitaaluma acha ujïnga menina
 
Back
Top Bottom