Rehema Nchimbi amehamia Singida miezi kama mitatu kutokea Njombe.. is it fair to judge kwamba ameshidwa kufanya kazi yake kwa muda huu mfupi?Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Ana mtoto kweli huyu mama? mbona katilimadaktari mmesikia huyu mtu akiumwa akaja kwenu nadhani mnajua mumsaidiaje...ingekuwa mi daktari hahahaa Kama anaumwa akaja kwangu nampa nusu kaputi alafu "namtibu tartiiibu"
Kua Mkuu wa mkoa, hata ukipata Zero inatosha......[emoji13] [emoji13]Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
kikiMkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikua hana jinsi ya kumfanya ila ilikua ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii kaitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa mikoa na wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
... alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu ...
Hawa ma rc na ma dc wanatumia madaraka yao vibaya na ni afadhali bunge lipitishe sheria kali ya kuwawajibisha endapo watarudia kufanya huo upuuziMkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikua hana jinsi ya kumfanya ila ilikua ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii kaitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa mikoa na wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Unataka kuniambia waziri mkuu hana power dhidi ya mkurugenzi kisa wote wameteuliwa na mtu mmoja?Kati ya RC na Waziri nani ana nguvu dhidi ya mwenzake ilhali wote wameteuliwa na mtu mmoja?
Waziri ataendelea kulalama jukwaani ila hana power yeyote dhidi ya RC. Kwani Gambo si alimvimbia prof.Maghembe na hakuna kilichofanyika? Au Bashite vs Nape!
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
PointHuyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!