PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting.

Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na Shirika la Human Relief, kwa gharama ya shilingi bilioni moja.
 
Back
Top Bottom