Ngunguri
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 771
- 1,967
“Tunawagawia wote mpaka wale wanaookota makopo barabarani,” ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akizitaka Halmashauri zote za Mkoani humo kuhakikisha zinagawa vitambulisho kwa watu wote wenye sifa kuanzia wenye mtaji wa chini ya milioni nne, wakiwemo wakulima na waokota makopo barabarani.
Chanzo: Azam tv
Chanzo: Azam tv