Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,157
- 14,119
Jichanganye tu uone
Njmechekaa sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Covid anatu zoom tu ***** tunavyojiandaa kuruka majoka.
Watu kibao wanakufa w unasema nn?? toa upupu wako hapa
Makonda huyu huyu wa matamko ndio atengue kauli au makonda yupi?Polen na majukum
Paul Makonda tengua kauli yako ya kusema watanzania jumapil tusherehekee kuishinda Corona kwa kufungua ma baa na kwenda disko
Ikiwa Kama muumin ambae naungana na magufuli katika kuamin kua MUNGU ndie Alie tulinda dhid ya Corona sababu ya dua zetu na mapenzi yake mungu. Hatutakiwa kumshukuru MUNGU kwa kufanya anasa
Kiongoz Kama kiongozi ulitakiwa uitishe Tena hata siku tatu za kumuomba mungu na kumshukuru Sio tumshuru kwa kukufuru please makonda embu omba Toba na utengue kauli yako utangaze jumapil kua siku ya ibada Tanzania especially Dar na Sio siku ya kufungua ma baa na kufanya mapat
Tukumbuke hata nabii Musa baada ya kuokoa watu wake walipo kua tayar wako salama wakaanza kufanya maasi mussa alipo enda kuongea na MUNGU wakat anarud akakuta watu wanafanya Maas ya kumuuzi mungu kitu ambacho kilipelekea watu wale walio kua tayar wameokolewa kuadhibiwa Tena
Naomba mh tengua kauli kabla hujasababisha watu kufanya maasi mengine mengi ambayo maasi hayo ndio yalisababusha Mungu atuadhibu kwa kutuletea Corona
Onyo hii ni kwa wanao Amin MUNGU tu
Sent using Jamii Forums mobile app
OkeyNB usininukuu Nimeweka kukusaidia
Mtakuwa na bashite miaka mingine mitano na tena wakati huu akiwa waziri wa mambo ya ndani kama hamtaachana na ccm mwaka huu.Polen na majukum