RC Paul Makonda tengua kauli tafadhali

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,193
2,000
Polen na majukum

Paul Makonda tengua kauli yako ya kusema Watanzania jumapil tusherehekee kuishinda Corona kwa kufungua Mabaa na kwenda disko.

Ikiwa kama muumin ambae naungana na Magufuli katika kuamin kuwa Mungu ndie aliyetulinda dhid ya Corona sababu ya dua zetu na mapenzi yake mungu. Hatutakiwa kumshukuru MUNGU kwa kufanya anasa

Kiongoz Kama kiongozi ulitakiwa uitishe Tena hata siku tatu za kumuomba mungu na kumshukuru Sio tumshuru kwa kukufuru please makonda embu omba Toba na utengue kauli yako utangaze jumapil kua siku ya ibada Tanzania especially Dar na Sio siku ya kufungua ma baa na kufanya mapat

Tukumbuke hata nabii Musa baada ya kuokoa watu wake walipo kua tayar wako salama wakaanza kufanya maasi mussa alipo enda kuongea na MUNGU wakat anarud akakuta watu wanafanya Maas ya kumuuzi mungu kitu ambacho kilipelekea watu wale walio kua tayar wameokolewa kuadhibiwa Tena

Naomba mh tengua kauli kabla hujasababisha watu kufanya maasi mengine mengi ambayo maasi hayo ndio yalisababusha Mungu atuadhibu kwa kutuletea Corona

Onyo hii ni kwa wanao Amin MUNGU tu
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,630
2,000
''Mungu anataka tule bata, tufurahi, tusherehekee... Tusiishi kinyonge... ''

Labda mkuu wa mkoa ndivyo alivyowaza.
 
Jamalm335

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,228
2,000
Za kuambiwa changanya na za kwako. Siku zote epuka kuchukua ushauri kwa mtu ambae ana maslahi ya moja kwa moja kwenye lile analolishauri.

Mtu anamiliki hotel halafu anakwambieni fungueni mahoteli na mabaa msherehekee. Hapo kila mwenye kuelewa keshajua dhamira halisi ni ipi, kulinda maslahi yake binafsi.

Kikubwa ni kujikinga wewe na familia yako kadri uwezavyo. Hao mnaowasilikiliza ni wanasiasa, kila wakisemacho lazima kiwe na manufaa yao binafsi.
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,332
2,000
Me najua walisema ijumaa tuombe jumamosi tuombe na jumapili tuombe ...ila tusisahau kupiga furaha

It is never too late to begin. Start now
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
6,932
2,000
Polen na majukum

Paul Makonda tengua kauli yako ya kusema watanzania jumapil tusherehekee kuishinda Corona kwa kufungua ma baa na kwenda disko

Ikiwa Kama muumin ambae naungana na magufuli katika kuamin kua MUNGU ndie Alie tulinda dhid ya Corona sababu ya dua zetu na mapenzi yake mungu. Hatutakiwa kumshukuru MUNGU kwa kufanya anasa

Kiongoz Kama kiongozi ulitakiwa uitishe Tena hata siku tatu za kumuomba mungu na kumshukuru Sio tumshuru kwa kukufuru please makonda embu omba Toba na utengue kauli yako utangaze jumapil kua siku ya ibada Tanzania especially Dar na Sio siku ya kufungua ma baa na kufanya mapat

Tukumbuke hata nabii Musa baada ya kuokoa watu wake walipo kua tayar wako salama wakaanza kufanya maasi mussa alipo enda kuongea na MUNGU wakat anarud akakuta watu wanafanya Maas ya kumuuzi mungu kitu ambacho kilipelekea watu wale walio kua tayar wameokolewa kuadhibiwa Tena

Naomba mh tengua kauli kabla hujasababisha watu kufanya maasi mengine mengi ambayo maasi hayo ndio yalisababusha Mungu atuadhibu kwa kutuletea Corona

Onyo hii ni kwa wanao Amin MUNGU tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe vipi unataka kutuharibia sherehe yetu, sisi tumekwisha andaa sanitaiza za koo toka duka la Mohan na bei zake ni Kali kama sanitaiza yenyewe. Karibu Kigamboni Jumapili tupige kelele usije na hela. Sisi tutaanza kunywa usiku saa sita kuamkia Jumapili.
 
Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,740
2,000
Polen na majukum

Paul Makonda tengua kauli yako ya kusema watanzania jumapil tusherehekee kuishinda Corona kwa kufungua ma baa na kwenda disko

Ikiwa Kama muumin ambae naungana na magufuli katika kuamin kua MUNGU ndie Alie tulinda dhid ya Corona sababu ya dua zetu na mapenzi yake mungu. Hatutakiwa kumshukuru MUNGU kwa kufanya anasa

Kiongoz Kama kiongozi ulitakiwa uitishe Tena hata siku tatu za kumuomba mungu na kumshukuru Sio tumshuru kwa kukufuru please makonda embu omba Toba na utengue kauli yako utangaze jumapil kua siku ya ibada Tanzania especially Dar na Sio siku ya kufungua ma baa na kufanya mapat

Tukumbuke hata nabii Musa baada ya kuokoa watu wake walipo kua tayar wako salama wakaanza kufanya maasi mussa alipo enda kuongea na MUNGU wakat anarud akakuta watu wanafanya Maas ya kumuuzi mungu kitu ambacho kilipelekea watu wale walio kua tayar wameokolewa kuadhibiwa Tena

Naomba mh tengua kauli kabla hujasababisha watu kufanya maasi mengine mengi ambayo maasi hayo ndio yalisababusha Mungu atuadhibu kwa kutuletea Corona

Onyo hii ni kwa wanao Amin MUNGU tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ana maslahi ya kisiasa na sikkuu ya IDDI maana usiwaamini wanasiasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom