RC Paul Makonda apokea mamilioni toka Serikalini

Sina shida mkuu na wala sihitaji ushauri wako Mimi najitosheleza,labda wewe ndo nikushauri mkuu
Hii habari ni nzuri maana hizo fedha ni kodi ya watanzania na si wana bunju A.

Lakini kwa nini kila ukiweka uzi unamalizia na Mavuvuzela/Vibaraka wa mabeberu? Kwa mimi naona unashida na unahitaji mshauri nasaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kujenga hoja kwa sababu mbuzi jike ni lazima uogope beberu
tapatalk_1580657454885.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe anzisha Uzi wako useme serikali imetoa mamilioni
Hivi kwanini msiwe mnasema serekali imetoa au wizara ya afya imetoa au hazina imetoa. Kwani hizi hela si ziliombwa na mbunge kisha bunge likapitisha na sasa hazina wametoa na kama hazikupitishwa na bunge iweje nae atoe hela bila ridhaa ya bunge? Rais hatoi hela jama na wala hapangi matumizi ya hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie maaluni semeni ameiba pesa za walipa kodi wa tanzania kumhonga hawara yake matako makubwa Yeye rais hana pesa na hazina siyo waleti yake huyu mwiv wahead. Lengo ni kumfuta machozi kwa kujulikana ndiye malyamungu wake! Hata akifanyaje ni lazima drone imbebe nyambaf
nitakushughulikia
 
Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo February 05, 2020 amethibitisha kupokea kiasi cha Tsh. Million 600 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa majengo matano ya Kisasa ya kituo cha Afya Bunju A, kwa lengo la kusogeza huduma karibu na Wananchi.

RC Makonda amesema wakazi wa Bunju na maeneo jirani walilazimika kusafiri umbali mrefu hadi Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya huduma ya upasuaji na kutokana na umbali mrefu baadhi yao kufariki Dunia wakiwa njiani na wengine kutumia gharama kubwa ya usafiri lakini uwepo wa Kituo hicho utafanya wapate huduma hapohapo Bunju A.

RC Makonda amesema ujenzi wa Kituo hicho unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo na utachukuwa muda wa miezi mitatu hadi kukamilika ambapo ameielekeza Manispaa ya Kinondoni kuhakikisha inasimamia ipasavyo ujenzi huo.

Amesema kukamilika kwa majengo hayo kutafanya Zahanati ya Bunju A kupanda hadhi na kuwa Kituo cha Afya ambapo Serikali imepanga kutoa Madaktari na Wauguzi 58 kwaajili ya kuwahudumia Wananchi kituoni hapo

Mavuvuzela wa mabeberu kazi kwenu,makonda piga kazi baba

Sent using Jamii Forums mobile app

!
!
Dunia hii hatari sana. Yaani wakati anawanyima wengine haki ya kuishi kuna wengine anawajengea kituo cha afya
 
Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo February 05, 2020 amethibitisha kupokea kiasi cha Tsh. Million 600 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa majengo matano ya Kisasa ya kituo cha Afya Bunju A, kwa lengo la kusogeza huduma karibu na Wananchi.

RC Makonda amesema wakazi wa Bunju na maeneo jirani walilazimika kusafiri umbali mrefu hadi Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya huduma ya upasuaji na kutokana na umbali mrefu baadhi yao kufariki Dunia wakiwa njiani na wengine kutumia gharama kubwa ya usafiri lakini uwepo wa Kituo hicho utafanya wapate huduma hapohapo Bunju A.

RC Makonda amesema ujenzi wa Kituo hicho unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo na utachukuwa muda wa miezi mitatu hadi kukamilika ambapo ameielekeza Manispaa ya Kinondoni kuhakikisha inasimamia ipasavyo ujenzi huo.

Amesema kukamilika kwa majengo hayo kutafanya Zahanati ya Bunju A kupanda hadhi na kuwa Kituo cha Afya ambapo Serikali imepanga kutoa Madaktari na Wauguzi 58 kwaajili ya kuwahudumia Wananchi kituoni hapo

Mavuvuzela wa mabeberu kazi kwenu,makonda piga kazi baba

Sent using Jamii Forums mobile app
unamuongelea BASHITE huyu aliepigwa ban na Poompeo au ?😃
 
Sio kwa povu hill,huoni hata aibu mwanamme mzima kulalamikia matako ya mwanamme mwenzako,?
Nyie maaluni semeni ameiba pesa za walipa kodi wa tanzania kumhonga hawara yake matako makubwa Yeye rais hana pesa na hazina siyo waleti yake huyu mwiv wahead. Lengo ni kumfuta machozi kwa kujulikana ndiye malyamungu wake! Hata akifanyaje ni lazima drone imbebe nyambaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana Prof Mussa Assad alifukuzwa kwa udi na uvumba ili huyu aliyepachikwa asiyakodolee mabulungutu.
 
Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo February 05, 2020 amethibitisha kupokea kiasi cha Tsh. Million 600 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa majengo matano ya Kisasa ya kituo cha Afya Bunju A, kwa lengo la kusogeza huduma karibu na Wananchi.

RC Makonda amesema wakazi wa Bunju na maeneo jirani walilazimika kusafiri umbali mrefu hadi Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya huduma ya upasuaji na kutokana na umbali mrefu baadhi yao kufariki Dunia wakiwa njiani na wengine kutumia gharama kubwa ya usafiri lakini uwepo wa Kituo hicho utafanya wapate huduma hapohapo Bunju A.

RC Makonda amesema ujenzi wa Kituo hicho unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo na utachukuwa muda wa miezi mitatu hadi kukamilika ambapo ameielekeza Manispaa ya Kinondoni kuhakikisha inasimamia ipasavyo ujenzi huo.

Amesema kukamilika kwa majengo hayo kutafanya Zahanati ya Bunju A kupanda hadhi na kuwa Kituo cha Afya ambapo Serikali imepanga kutoa Madaktari na Wauguzi 58 kwaajili ya kuwahudumia Wananchi kituoni hapo

Mavuvuzela wa mabeberu kazi kwenu,makonda piga kazi baba

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya mbuzi jike. Tumekusikia.
 
Back
Top Bottom