GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,865
Haiwezi kutokea na haitokaa itokee,RC ni mambo ingine etKwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima!
Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la UFUFUO NA UZIMA?
Lipi litatangulia kufungiwa kati ya RC na KKKT?
Hizo ni taasis ambazo si kanisa tena, ni serikal kubwaKwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima!
Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la UFUFUO NA UZIMA?
Lipi litatangulia kufungiwa kati ya RC na KKKT?
Malizia na kkktKuifunga RC ni ngumu sana,ile nayo ni serekali mbona wanatafuta balaa sasa
Katoliki na KKKT Hao ni matawi tu mawazo yao hayawakilishi ya papaKwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima!
Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la UFUFUO NA UZIMA?
Lipi litatangulia kufungiwa kati ya RC na KKKT?
Endelea kushtuka ivyo ivyoNimeshtuka