RC Mwanza unajitafutia ajali kwa Uzembe

Labda ilikuwa dharula,maana foleni zenyewe si mnazijua.
Hakuna cha dharula ila ndio utaratibu wake wa kila siku.Watu wameshahoji sana na kitengo cha Traffic wanalielewa hilo.Walipaswa kumshauri kabla ya madhara kutokea.
 
Back
Top Bottom