Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,017
- 74,671
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.