juma mpemba
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,227
- 7,552
gingerheadUkweli ni mchungu ila ndio hivo. Makonda ndie Mkuu wa Mjoa. Mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama, mkuu wa kamati ya maadili na sheria kwa mkoa wake. Kiufupi ndie kinara wa wakuu wote wa mikoa kwa kuwa Dar ndio kiini cha Nchi yetu. Nyumbu hawataki kuukubali ukweli huu kwa kuwa wana negation of the negation walioijenga kwa serikali yetu. Anafanya vile kiongozi anapaswa kufanya. Nyie endelezeni tu chuki zenu ila sisi vitendo zaidi.