RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

Sijui alitumia vigezo gani au utafiti upi?
 
Kama yakuongea hamna bora angekaa tu kimya ,
 
Kama Mhe. Mkuu wa Mkoa ambaye ana taarifa nyingi za mkoa kakosea, basi wewe umekosea zaidi na hadi kwenda OP ndugu yangu@Mmawia, maana hata wewe umezungumzia wana Mbeya badala ya kusema, "Mimi". #Nchi itajengwa na mwananchi. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni ujinga sana kudhani RC anaweza kuwa na taarifa nyingi za mkoa kwa vile tu Polisi wanampigia salute
 
Tangu lini muhutu intarahamwe akawa mtu wa mbeya
 
upumbavu ni hatari katika taifa kiongozi anaenda kwenye media nakusema uongo kuwa wananchi wamekubali ujinga wa tozo anafikri watu hawajasoma niwakuongozwa kama ngo'mbe ifikie hatua mnaona aibu nikiwa raisi kiongozi kama huyu namfuta kazi maramoja maana najuwa hata mimi anaweza kunipumbaza kwakunisifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…