Weka hotuba hapa mkuu tusikie au kusoma alivyowasema vibaya wanambeyaKutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Mbeya Ipi, CC Watu wa Mbeya hatuongelewi na Mburula. Mbeya ni Mkoa wa Wasomi wanaojielewa na kuelewa maana ya kila kamsemo.Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Afya ya akili ya Chalamila ichunguzwe , muundo wa kichwa alichonacho unazua maswali mengi mno .
hhahaha watu huwa hWamfatilii vzr huyu Chalamila..ana akili butu sana..ana shombo za kukera na lilafudhi lake la kikinga[emoji57][emoji57]
unajidanganya kwa faida ya nani ?Mbeya Ipi, CC Watu wa Mbeya hatuongelewi na Mburula. Mbeya ni Mkoa wa Wasomi wanaojielewa na kuelewa maana ya kila kamsemo.
Umehamia Mbeya tangu lini? Acha kuwasemea wana Mbeya wewe!!Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Kwani umehama Kurasini?unajidanganya kwa faida ya nani ?
He is too much obsessed by magufuli kiasi anashangaa kwanini watu hawajamkubaliKwani mpaka sasa kuna hata mkosoji mmoja hapo mbeya aliyechomwa sindano ya ukichaa