Nathan_Mao-Tz
Member
- Jan 11, 2018
- 22
- 3
- Thread starter
- #21
Ndo nimesha anzaUkianzisha tena mada ya kijinga ivi sita kutukana tu bali nita deal na wewe effectively
Ndo nimesha anzaUkianzisha tena mada ya kijinga ivi sita kutukana tu bali nita deal na wewe effectively
Hii post yako ni ndefu kushinda uzi ulioanzishaHuna la kunitishia bro nitakapo amua kusema ubaya wako sio zana ya matusi mimi ni mtanzania mstaarabu sana naheshimu hisia za watu Sina haja ya kukuchafulia utu lkn siku zijazo jifunze kujibu hoja kwa hoja matusi ni mwiko sio utaratibu wetu watanzania alafu mimi ni mlokole sipendagi lugha chafu
Hongera zako Nathan kwa kujitoa fahamu.Nampongeza kwa kazi kubwa anayoifanya
Asante mkali, kila mtu anamazaifu yake hatuwezi kufungia macho mambo makuu ya Rc kwa kosa moja la vyeti feki, wako wengi wenye vyeti wameboronga sanaHongera zako Nathan kwa kujitoa fahamu.
Ukianzisha tena mada ya kijinga ivi sita kutukana tu bali nita deal na wewe effectively
Umeona hilo tu? Kuvamia. Madawa. Kutukana watu. etc...Asante mkali, kila mtu anamazaifu yake hatuwezi kufungia macho mambo makuu ya Rc kwa kosa moja la vyeti feki, wako wengi wenye vyeti wameboronga sana
Kwahiyo Mkuu unakiri RC anavyeti Feki?Asante mkali, kila mtu anamazaifu yake hatuwezi kufungia macho mambo makuu ya Rc kwa kosa moja la vyeti feki, wako wengi wenye vyeti wameboronga sana
Kuna ugonjwa mpya Bongo wa kusifia.Nampongeza kwa kazi kubwa anayoifanya
Nampongeza kwa kazi kubwa anayoifanya
Una ulokole gani pumbavuHuna la kunitishia bro nitakapo amua kusema ubaya wako sio zana ya matusi mimi ni mtanzania mstaarabu sana naheshimu hisia za watu Sina haja ya kukuchafulia utu lkn siku zijazo jifunze kujibu hoja kwa hoja matusi ni mwiko sio utaratibu wetu watanzania alafu mimi ni mlokole sipendagi lugha chafu
Kuwa mpoleUna ulokole gani pumbavu
Povu la nini wakuu
Lack of knowledgeMkuu wako nani mpuuzi wewe
Nampongeza kwa kazi kubwa anayoifanya
Huu ni Uzi umeandikwa na mwanaume au na mwanamama?
Lack of knowledge